Habari msomaji wa wildlife Tanzania, karibu kwenye makala yetu ya leo ambayo tunajifunza mambo mengi mazuri kutoka kwenye maliasili zetu. Leo nimekuandaia makala nzuri ya kukusaidia kama unataka kutembelea hifadhi ya taifa ya mikumi siku za karibuni. Katika msimu huu wa sikukuu uweze kuchukua fursa hii nzuri sana. Mara nyingi huwa tunapotaka kufanya safari za kitalii kwenye mbuga za wanyama huwa tunahofia gharama kuwa kubwa. Leo nimekuletea suluhisho la jambo hili. Unaweza kwenda kutalii kwa harama nafuu kabisa na watu waliobobea kwenye mambo haya watahakikisha unafikia malengo yako.
Joel and Hermit Tour Organisers, ambao wamejitoa kwa ajili ya kutatua changamoto hii, kama unatata kufika hifadhi yoyote kwa gharama nafuu kabisa, unawasiliana na hawa jamaa kwa namba za mawasiliano haya. 0758027779/0654699929 au 0757664848/0717789637 au unaweza kuwasiliana naye kwa barua pepe joelhermit@gmail.com. Huwa wanafanya mambo mengi mazuri yanayohusiana na kupeleka watu hifadhini kutalii na pia wanapeleka makundi mbali mbai ya watu kwa ajili ya kujifunza, kama vile wanafunzi.
Kwa msimu huu wa sikukuu wamekuandalia ofa kubwa sana ya kutembelea hifadhi ya taifa ya Mikumi kwa gharama nafuu kabisa, shilingi 25,000/= ambayo itajumuisha usafiri wa kwenda na kurudi, usafiri wa ndani ya hifadhi, kiingilio na ada ya mwongozaji (guiding fee). Kwa wale wanaotaka kutembelea hifadhi ya Mikumi hii ndio nafasi pekee hupaswi kuikosa. Safari hii ya kutembelea hifadhi ya Mikumi itafanyika tarehe 9/12/2017. Na mwisho wa kulipa ili kwenda kutalii ni taerehe 7/12/2017. Hivyo hii ni nafasi yako mtanzania kutumia ili kujionea maajabu yaliyoko katika hifadhii hii nzuri ya Mikumi.
Panga mapema na jiandae kutembelea hifadhi hii, utaona mengi utajifunza mengi na utafurahia. Kwa gharama walizoweka ni ndogo sana ukilinganisha na mambo mazuri utakayoyapata, hivyo itumie fursa hii kutembelea vivuto vingi. Na kwa wale wanafunzi wanaohitaji mafunzo kwa vitendo au kufanya utafiti pia mnaweza kutumia fursa hii kufanikisha malengo yenu.
Kwa mengi kuhusu utaratibu na namna ya kutembelea hifadhi na safari nyingine usisite wasiliana nasi.
Hillary Mrosso
Wildlife Conservationist
+255 683 862 481/+255 742 092 569
www.mtaalamu.net/wildlifetanzania