Uhifadhi endelevu wa wanyamapori unahitaji tafiti za kina za mara kwa mara kwa kutumia mbinu sahihi zilizohakikiwa ili kuleta matokeo halisi yanayosaidia katika kuweka mipango endelevu ya uhifadhi. Tafiti ni
Hillary Mrosso
1.Ndugu zangu karibuni, nina jambo kutamka Simba wapo hatarini, majangili wawasaka Waharibu masikani, kuvuka yao mipaka Simba wanayo thamani, tutunze makazi yao 2.Simba waisha porini, hali sipobadilika Hatua tuchukueni, tusije
Leo twendeni mbugani, utalii mbuga zetu Huko leo kuna nini, nataka ninene kitu Leo huko duniani, siku ya bingwa wa mwitu Agosti kumi ya Simba, ni jukumu tuwatunze Simba ni
Karibu kwenye shairi linalohamasisha uhifadhi wa ndege aina ya Bundi. Shairi hili limendikwa na Dr. Raymondi Mgeni, maarufu kama Malenga wa Ubena, unaweza kusoma na kuwashirikisha wengine. Karibu! Zipo imani
Utangulizi Katika misitu, mashamba na karibu na makazi ya watu, nyakati za usiku husikika sauti zisizo za kawaida. Jua linapozama huamka ndege wawindaji ambao mara nyingi huonekana kama ishara ya
Nukuu: “Mikoko ni hazina isiyothaminiwa, yenye uwezo wa kufyonza kaboni mara nne zaidi ya miti ya nchi kavu.” Mazingira ya bahari yanahusisha maeneo yote yanayozunguka bahari ikijumuisha fukwe za bahari,
Kwezi Maridadi au Kuzi ni ndege wa kuvutia kutoka familia ya Musophagidae, anayejulikana kwa manyoya yake ya rangi ang’avu kama bluu-kijani, nyeusi, nyeupe na nyekundu kahawia. Anapatikana maeneo ya uoto
Hifadhi yetu ya Taifa ya Serengeti imekuwa ikituwakilisha vyema kiukanda, barani Afrika na duniani kwa ujumla kupitia tuzo hii ya hifadhi bora barani Afrika inayoandaliwa na shirika binafsi, World Travel
Je, unafahamu kuwa Tanzania ina aina 3 za kakakuona? Katika spishi au aina 4 za kakakuona wanaopatikana Afrika, Tanzania ina aina 3 za kakauona, ambao ni Kakakuona wa ardhini (Ground
Kijito (stream) ni mto mdogo, kijito kwa kawaida huwa na kiasi cha maji yanayotiririka ndani yake kuliko mto. Ikolojia ya Kijito ni namna mfumo wa kifizikia, kikemikali na kibaiolojia unavyoingiliana
Load More











