Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Yaliyojificha Nyuma ya Biashara Haramu na Matumizi Makubwa ya Ndege Bundi

Utangulizi Katika misitu, mashamba na karibu na makazi ya watu, nyakati za usiku husikika sauti zisizo za kawaida. Jua linapozama huamka ndege wawindaji ambao mara nyingi...

Kwa Nini Mikoko ni Muhimu Kuliko Miti ya Nchi Kavu?

Nukuu: “Mikoko ni hazina isiyothaminiwa, yenye uwezo wa kufyonza kaboni mara nne zaidi ya miti ya nchi kavu.” Mazingira ya bahari yanahusisha maeneo yote yanayozunguka...

Usiyoyajua Kuhusu Kwezi Maridadi na Umuhimu Wake Katika Ikolojia

Kwezi Maridadi au Kuzi ni ndege wa kuvutia kutoka familia ya Musophagidae, anayejulikana kwa manyoya yake ya rangi ang’avu kama bluu-kijani, nyeusi, nyeupe na...

Sababu za Hifadhi ya Taifa ya Serengeti Kushinda Tuzo ya Hifadhi Bora Barani Afrika

Hifadhi yetu ya Taifa ya Serengeti imekuwa ikituwakilisha vyema kiukanda, barani Afrika na duniani kwa ujumla kupitia tuzo hii ya hifadhi bora barani Afrika...

Umewahi Kuona Aina Ipi Ya Kakakuona Kati ya Hizi?

Je, unafahamu kuwa Tanzania ina aina 3 za kakakuona? Katika spishi au aina 4 za kakakuona wanaopatikana Afrika, Tanzania ina aina 3 za kakauona, ambao...

Ikolojia ya Kijito Ilivyo Muhimu Kutambua Afya ya Mazingira ya Viumbe Hai

Kijito (stream) ni mto mdogo, kijito kwa kawaida huwa na kiasi cha maji yanayotiririka ndani yake kuliko mto. Ikolojia ya Kijito ni namna mfumo wa...