Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Ukweli Usiosemwa Kuhusu Reptilia

Zaidi ya asilimia 21 (21%) ya viumbe aina ya reptilia wapo hatarini kutoweka duniani. Reptilia ni wanyama wenye damu baridi, ambao miili yao ina...

Logo ya Wildlife Tanzania

Habari njema kwa wasomaji na wafuatiliaji wa mtandao wetu wa wildlife Tanzania. Tangu tuanze uandishi wa makala za wanyamapori mwaka 2017, hatujawahi kuwa na logo...

Ijue Maana Halisi ya Uhifadhi wa Mazingira na Faida Zake

Uhifadhi maana yake ni juhudi za kutunza na kudhibiti matumizi ya rasilimali za asili ili kuhakikisha zinadumu katika vizazi vya sasa na vijavyo. Kwa maana...

Zijue Shughuli za Utalii Zenye Mvuto Katika Hifadhi za Taifa

Uwepo wa wanyamapori katika maeneo mbalimbali yaliyohifadhiwa nchini Tanzania umekuwa kichocheo kikubwa cha kukua kwa sekta ya utalii. Shughuli mbalimbali za utalii ambazo huhusisha...

Ijue Biashara ya Hewa Ukaa Katika Kuhifadhi Mazingira na Kuchangia Shughuli za Maendeleo

 Utangulizi Biashara ya hewa ukaa ni miongoni mwa biashara kubwa duniani hususani katika nchi zinazoendelea ambapo uchafuzi wa mazingira haujakithiri kwa kiasi kikubwa. Ni fursa...

Yafahamu Maeneo Nyeti kwa Uhifadhi wa Ndege

Ndege maji ni moja ya kundi muhimu sana la ndege katika uhifadhi, utalii na uchumi. Ndege wa maji au kama wanavyojulikana kwa kingereza waterbirds,...