Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Fahamu Umuhimu wa Maeneo Oevu Katika Uhifadhi, Uchumi na Utalii

Maeneo ovevu au wetlands, maeneo haya yanajumuisha mabwawa, maeneo yenye unyevu, mambonde yenye unyevu na maji, mito, maziwa na maeneo yote yenye matope kwasababu...

Maeneo ya Usimamizi wa Wanyamapori (WMA); Uchambuzi wa Sheria Sehemu ya Tano

Maeneo ya Usimamizi wa Wanyamapori, au Maeneo ya Hifadhi ya Jamii, kwa kingereza, Wildlife Management Areas (WMA), ni maeneo muhimu ya uhifadhi wa wanyamapori...

Fahamu Vichochezi Tisa (9) vya Kusaidia Kutangaza na Kukuza Utalii Duniani

Nchi yetu imejaaliwa kuwa na vivutio vingi  vya utalii ikiwa ni pamoja na wanyamapori, jiografiia nzuri ya uwanda wa mabonde, miinuko na milima, mapango...

Hizi Ndio Sifa za Kuvutia Walizonazo Twiga Masai

Leo tutaingia darasani kumjua mnyama TWIGA ambae hujulikana kutokana na maringo yake na hata watu kumwita mnyama mwenye maringo. Kabla hatujaenda kwenye maudhui ya...

Vitu vya Kipekee Usivyovijua Kuhusu Twiga

Twiga ni miongoni wa wanyamapori wa kipekee sana, upekee wao unawafanya wawe ni wanyama wanaovutia na wanaopendwa sana duninani. Hii inachangiwa na umbo lake...

Zijue Faida Za Sensa ya Ndege wa Majini (Waterbirds)

Kila mwaka, mwezi Januari inafanyika sensa ya ndege wa maji yaani waterbird. Aina hii ya ndege ni wale ambao maisha yao yote wanategemea uwepo...