Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Kakakuona Wanaelekea Kutoweka Bila Kuwa na Taarifa Zake

Kakakuona ni wanyama jamii ya mamalia, wanyama hawa ni miongoni mwa wanyama wa kipekee sana kutokana na maumbile yao, maisha yao na mitazamo ya...

Zingatia Mambo Haya Ili Ufurahie Safari Yako ya Kutalii Mbuga za Wanyama Tanzania

Tanzania ni moja ya nchi zenye mandhari za kuvutia na hifadhi za wanyamapori zinazojulikana duniani kote. Tanzania inajivunia hifadhi na mbuga za wanyamapori zinazovutia...

Mkutano wa Dharura Kijijini Uliomuokoa Kakakuona

Jua lilikuwa karibia kuzama wakati tukishuka milima ya kijiji cha Kisilwa ambayo inapakana na hifadhi ya taifa ya Ruaha. Tulikuwa tumechoka sana kutembea kilomita...

Yajue Madhara ya Moto Kichaa Katika Maeneo Yaliyo Hifadhiwa Tanzania

Maana ya Moto Kichaa Moto kichaa ni moto ambao hutokea kwa bahati mbaya au kusudi, ambao mara nyingi ni ngumu sana kuudhibiti. Katika maeneo yaliyohifadhiwa,...

Fahamu Ulimwengu wa Kasa wa Baharini

Kasa wa bahari ni reptilia wa order testidunes, familia ya chelonida. Kuna aina saba ya spishi za kasa wa bahari duniani ambazo ni flatback...

Pokea Salamu za Mwaka 2025

Habari wasomaji wetu wa makala za blog ya wildlife Tanzania. Tunamshukuru Mungu, tumevuka salama mwaka 2024. Sasa tupo mwaka 2025. Napenda kuwashukuru sana wasomaji wetu wote...