Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Mazuri Usiyoyajua Kuhusu Aina Kumi na Nne (14) za Bundi Waliopo Tanzania na Umuhimu Wake Katika Uhifadhi

Bundi ni ndege wanaopatikana kwenye oda ya Strigifomi, ambayo inajumuisha Zaidi ya spishi 200 za bundi duniani. Ndege hawa huonekana zaidi wakati wa usiku,...

Faida za Kilimo cha Mwani na Athari Zake Katika Uhifadhi wa Bahari

Mwani ni aina ya viumbe hai wanaopatikana katika maeneo ya bahari wajulikanao kwa lugha ya kiingereza kama “Sea moss”. Katika uasili wake, viumbe hawa...

Matumizi Ya Nyamapori Yanavyochangia Kutoweka Kwa Aina Mbalimbali (Spishi) Za Wanyamapori

Tangu karne nyingi zilizopita watu wamekuwa wakitumia nyamapori kwa matumizi mbali mbali kama vile kitoweo, dawa, na kufanyia mila na na desturi zao. Katika...

Tishio Kubwa Kwa Wanyamapori Na Mazingira Tanzania

Dunia inakabiliwa na majanga mengi sana ya kimazingira, majanga hayo ni uchafuzi wa mazingira, uharibifu wa maeneo ya hifadhi ya misitu na wanyamapori, ongezeko...

Mchango wa Ardhi Oevu ya Usangu katika Hifadhi ya Taifa Ruaha na Maendeleo ya Nchi

Ardhi oevu ni eneo lenye uwazi mkubwa wenye maji mengi yatokayo katika vyanzo mbalimbali kama vile mito, vijito, mifereji na mitaro ambayo huweza kuwa...

Tushiriki Kupiga Vita Uchomaji Holela Wa Moto Kwenye Maeneo Ya Hifadhi Za Wanyamapori Na Misitu.

Baada ya ugunduzi wa moto, maisha ya binadamu yalibadilika kwa kiasi kikubwa, uzalishaji uliongezeka, ulinzi dhidi ya maadui zake uliimarika, afya iliimarika zaidi na...