Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Mambo Usiyoyajua Kuhusu Tofauti Zilizopo Kati Ya Nyoka Aina Ya Cobra(Fira/Swila) Na Black Mamba(Koboko)

1. UTANGULIZI Katika bara la Africa kuna nyoka wa aina nyingi sana kwa makundi yao. Lakini leo natamani tuangazie kidogo kuhusu aina hizi mbili za...

ZIFAHAMU SABABU ZINAZOHATARISHA MAISHA YA PAPA-POTWE WA KISIWA CHA MAFIA

Kisiwa cha Mafia kinachopatikana Tanzania ni miongoni mwa visiwa maarufu sana duniani. Kisiwa hiki chenye ukubwa wa kilometa za mraba 435, kimekuwa maarufu sio...

Fahamu Mengi Kuhusu Swala Aliye Hatarini Zaidi Kutoweka Tanzania.

Ni siku nyingine tena wasomaji na wadau wa makala hizi za wanyuamapori bila kuwasahau wahifadhi na mamlaka zote za uhifadhi wa wanyamapori hapa nchini....

Yafahamu Mambo Nyeti Kuhusu Maisha Ya Mnyama Simba

Habari wadau wa makala hizi za wanyamapori, jamii na wahifadhi kwa ujumla. Kwa mara nyingine tena leo nawaletea makala kuhusu wanyamapori kama ilivyo ada...

Yafahamu Mambo Ya Kushangaza Kuhusu Mamba (Nile Crocodile)

Habari za siku nyingi ndugu msomaji wa makala hizi za wanyamapori. Ni muda mrefu kidogo sasa umepita tangu nitume Makala kwa mara ya mwisho...

Fahamu Kwanini Uhifadhi ni Jukumu Takatifu la Kila Mwanadamu Hapa Duniani

Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Baadaye Mungu aliendelea kuumba vitu vingine ikiwemo wanyama wa mwituni kwa jinsi yake na wanyama wa kufugwa...