Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Umuhimu wa Vichuguu Katika Mifumo Mbalimbali ya Ikolojia ya Uhifadhi wa Wanyamapori.

Mchwa ni jamii ya wadudu ambao huishi kwa kujenga viota ardhini, kwenye miti, kuta za nyumba na magogo ya miti. Mchwa ni wadudu ambao...

Zijue Aina Za Mikoko Na Athari Za Uvunaji Haramu

Mikoko ni aina ya miti inayoota pembezoni mwa Bahari (katika fuko za Bahari), na hustawi vizuri katika udongo au maji yenye chumvi hususani katika...

Ijue Historia Na Chimbuko La Uwindaji Haramu Wa Wanyamapori Kwa Kutumia Sumu Na Mitego(Nyaya)

SEHEMU A Historia ya ujangili inaturudisha nyuma enzi za ukoloni wakati wakivamia maeneo yenye thamani kubwa mfano machimbo ya madini, mashamba makubwa yenye rutuba na...

Ujumbe Wangu, Siku Ya Askari Wanyamapori Duniani

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Naam, kazi iendelee! Asanteni sana.  Kila mwaka, tarehe 31 Julai  ni siku ya Askari Wanyamapori...

Fahamu Uhusiano wa Tembo na Miti Aina ya Mibuyu

Mnyamapori aina ya   tembo ameonekana kuwa na ukaribu sana na mazingira yenye uoto wa asili wenye miti aina ya  mibuyu. Hii ni miongoni mwa...

Fahamu Umuhimu Wa Ndege Kama Kiashiria Cha Hali Ya Mifumo Ya Ikologia Katika Maeneo Mbali Mbali

Kiashiria ni alama ambayo inatoa taarifa au tahadhari juu jambo fulani zuri au baya na kukufanya uweze kuchukua  hatua mapema. Katika uhifadhi au sayansi...