Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Je, Mbwa Mwitu Ni Muwindaji Katili? Soma Hapa Kufahamu Zaidi!

 Mbwa mwitu wa Afrika (African wild dog), ni mnyama jamii ya Kanivora (carnivorres) kwa maana ya wanyama wanaokula nyama . Wanyama hawa wana mdomo...

Fahamu Kuhusu Melanism na Albinism Kwa Wanyamapori

Idadi kubwa ya viumbe wanaopatikana duniani miili yao imefunikwa na leya nyepesi au nzito iitwayo ngozi, japkuwa kuna viumbe wachache wasio na ngozi. Ngozi...

Maajabu Ya Sokwe Wa Hifadhi Ya Taifa Gombe

Hifadhi ya Taifa ya Gombe ni miongoni mwa hifadhi kongwe hapa nchini Tanzania iliyosheheni vivutio mbali mbali vinavyobeba umaarufu wake. Licha ya uwepo wa...

Fahamu Machache Kuhusu Tembo, Mnyama Mkubwa Zaidi Ardhini

Tembo ni mamalia wakubwa wa jenasi Elephas na ‘Loxodonta’ za familia ya ‘Elephantidae, na pia ndio mnyama mkubwa mla nyasi kuliko wote ulimwenguni. Kuna spishi...

Zijue Sifa Mbalimbali Za Mbwa Mwitu Wa Afrika Na Utofauti Wake Na Mbwa Wa Kufugwa

Mbwa mwitu wa Afrika (African Wild Dog) ni mnyama wa porini mwenye umbo la mbwa wafugwao japokuwa wana utofauti wa moja kwa moja kwenye...

Mambo Usiyoyajua Kuhusu Pundalimia; Mnyama Mwenye Rangi Za Kumchanganya Adui

 Hakika kuna wanyama wengi waliopambwa kwa rangi nzuri katika ngozi zao ambazo huvutia  kuwatazama wakati wa utalii mfano twiga, chui, duma, na ndegewenye rangi...