Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Sababu na Athari za Watu Kushiriki Uwindaji Haramu “Ujangili”.

Ujangili ni uwindaji haramu unaohusisha tendo la kuwinda wanyama, kukamata au kuua wanyama unaofanywa bila kibali au kinyume cha sheria za nchi husika. Ujangili...

Zijue Sifa Za Wanyama Jamii Ya Swala

Duniani kuna wanyama jamii ya swala aina 90 ambapo bara la Afrika peke zipo jamii 71. Swala wanapatikana marneo mbali mbali duniani ikiwemo Africa...

Mambo Ya Kushangaza Usiyoyajua Kuhusu Mnyama Aina Ya Fisimaji

Tanzania imebarikiwa kwa kuwa na bioanuai za aina mbalimbali kama vile mimea na wanyama . Miongoni mwa makundi ya wanyama ambayo nchi yetu imeweza...

Fahamu Maajabu Ya Kiumbe Wa Baharini Aitwae Kasa

Joto limekuwa likiathiri vitu vingi Ulimwenguni ikiwemo jinsia za viumbe vya aina mbalimbali kama vile  watoto wa Mamba, Kasa, Samaki na baadhi ya Mijusi....

Yajue Mengi ya Hifadhi ya Tarangire

Utalii wa kutembelea hifadhi mbalimbali Duniani ni njia pekee ya kuzitambulisha na kuwa moja ya njia kuu za ongezeko la pato la taifa husika....

Fahamu Jinsi Tembo Wanavyoweza Kuwasiliana

Mpendwa msomaji wa Makala mbalimbali  za wanyapori, utalii na mazingira , awali ya yote namshukuru mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na kutuwezasha kuandaa Makala...