Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Ijue Siri Na Vita Za Wanyamapori Wanaokula Nyama

Mara nyingi kumekuwa na taarifa ambazo tunazipokea kutoka kwa watu mbalimbali kuhusu maisha ya wanyamapori hususani wanyama wanaokua nyama. Miongoni mwa taarifa hizo zinaweza...

Je Unamfahamu Mnyama Ambaye Ni Mhandisi Wa Mifumo Ya Kiikolojia?

Huyu ni mnyama aina ya tembo ambaye kwa historia fupi ndiye mnyama mkubwa kuliko wote ambao wanaishi nchi kavu. Kuna aina tatu za Tembo...

Ujue Umuhimu Wa Tumbusi Katika Ikolojia.

Tumbusi ni ndege mkubwa ambaye anavumbua na kula mizoga iliyoachwa na wanyama wanaowinda kama simba, Chui na duma, ni ndege mwenye mnasaba na Tai...

Mambo Haya Ndio Yanafanya Binadamu Awe Hatarini Zaidi Kutoweka Katika Uso Wa Dunia.

Je! Wajua, binadamu yupo hatarini kutoweka kuliko hata faru? Katika kipindi hiki kigumu cha tukio kubwa la sita la utowekaji wa viumbe (sixth mass...

Mfahamu Kimulimuli Mdudu Wa Kushangaza Aliyehatarini Kutoweka

Sote katika hatua moja ya kukua tumewahi kujiuliza na kuwastaajabia viumbe ambao wanawaka taa Usiku. Kimulimuli ni jina la kiswahili la mdudu mdogo mwenye ukubwa...