Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Siasa Duni Na Sehemu Zenye Migogoro Ya Vita Vimechangia Sana Kuongezeka Kwa Vitendo Vya Ujangili Wa Wanyamapori Barani Afrika.

Bara la Afrika kwa miaka mingi limekuwa likikabiliwa na changamoto kubwa sana kuhusiana na masuala ya kisiasa ambayo yanalegalega sana. Kutokana na kukosekana kwa...

Zijue Siri Nane (8) Zinazoifanya Tanzania Kuwa Miongoni Mwa Nchi Tajiri Duniani Kwa Maliasili Hasa Wanyamapori.

Ashukuriwe Maanani kwa kuitunuku nchi yetu Tanzania, Maliasili nyingi kama madini, vyanzo vya maji, misitu na wanyamapori wa aina tofauti tofauti. Upande wa wanyama...

Mfahamu Kwa Kina Maisha Ya Kiumbe Asiye Na Kidole Gumba

MBEGA Neno Mbega ( Colubus) limetokana na neno la Kigiriki likiwa na maana mnyama jamii ya nyani mwenye vidole vinne pasipokuwa na kidole gumba. Mbega weupe...

Kukosekana Kwa Ujuzi, Ushirikiano, Mafunzo Na Vitendea Kazi Kumechangia Sana Maisha ya Askari Na Wanyamapori Kuwa Hatarini Kila Mara

Ili kupambana na ujangili ni vizuri vitengo vyote vinavyopambana na ujangili kama vile vikosi vya kuthibiti ujangili au kwa kingereza wanasema “antipoaching units” vikapata...

Ijue Milango Ya Usafirishaji Haramu Wa Meno Ya Tembo Katika Afrika Mashariki

Biashara haramu ya meno ya tembo imeonyesha kukua na kushika kasi kubwa tangu mwaka 2007. Shughuli zote za ujangili na biashara haramu ya meno...

Mauaji Ya Kutisha Ya Tembo Wa Afrika, Hivi Ndio Visababishi Vya Ujangili

Kwa miaka saba iliyopita tumeshuhudia kupungua sana kwa idadi ya tembo wa Afrika kutokana na ujangili hasa katika eneo la Kusini mwa bara hili....