Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Hili Ndio Janga Baya Zaidi Kuliko Ujangili Wa Tembo

Tembo wanapatikana katika maeneo ya Kusini mwa Jangwa la Sahara hasa maeneo yenye misitu ya maji, savanna, na maeneo ya jangwa. Mara kwa mara...

Fahamu Umuhimu Wa Mahusiano Chanya Baina Ya Ndege Na Wanyama Wa Porini.

Ndege ni moja wa viumbe hai ambao hutofautiana na  wanyama wengine kwa sifa zifuatazo; umiliki ama uwepo wa  mabawa yanayomwezesha kuruka angani vile vile...

Fahamu Jinsi Shughuli Za Binadamu Zilivyoharibu Makazi Ya Chura Anayezaa Nchini Tanzania

Korongo la Kihansi linapatikana ndani ya hifadhi ya milima ya hifadhi ya Taifa Udzungwa upande wa mashariki . Korongo hili linasifika kwa wembamba na...

Ona Ujangili Ulivyoathiri Idadi Ya Tembo Barani Afrika.

Kati ya miaka ya 1970 na 1990 maelfu kwa maelfu ya tembo waliuwawa kwa ajili ya meno yao na kuacha idadi ndogo sana ya...

Mimi Sehemu Yangu Ni Nini Katika Hili?

Dunia tuliyo nayo sasa imepitia vipindi mbali mbali ambavyo vimeacha alama kwenye maisha ya viumbe hai walopo ndani yake. Tangu historia ianze kundikwa kuhusu...

Mambo Muhimu Tisa (9) Tunayopaswa Kuyajua Na Kuyafanyia Kazi Katika Uhifadhi Wa Wanyamapori Na Maliasili Nyingine Kwa Mwaka 2019.

Kila siku kuna vitu tunafanya ikiwa ni njia mojawapo ya kujipatia mahitaji ya kila siku kutoka kwenye mazingira yetu mfano matunda, chakula na mara...