Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Hitimisho Na Mapendekezo Yaliyotolewa Na Tume Ya Umoja Wa Ulaya Kuhusu Biashara Ya Meno Ya Tembo Na Bidhaa Zake .

Baada ya kusoma uchambuzi wa ripoti hii maarufu inayoitwa “EUROPE DEADLY IVORY TRADE”, sasa ni wakati wa kujifunza mapendekezo ya ripoti hii baada ya...

Jinsi Ambavyo Sheria Za Meno Ya Tembo Huko Ulaya Zilivyotengeneza Mwanya Kwa Ujangili Kushamiri.

Habari msomaji wa makala za kila siku kuhusu uhifadhi wa wanyamapori, misitu na pia utalii. Karibu katika makala ya leo tuendelee na uchambuzi wa...

Masoko Ya Meno Ya Tembo Yaliyopo Ulaya Ambayo Hujawahi Kuyasikia Kabisa

Umoja wa Ulaya una sheria kwamba bidhaa ambazo zimetengenezwa na meno ya tembo au meno ya tembo yaliyochakatwa ambayo yalipatikana kabla ya mwaka 1947...

Teknolojia Ya Kutumia RADIOCARBON Ilivyosaidia Katika Vita Dhidhi Ya Ujangili Na Biashara Haramu Katika Nchi Za Umoja wa Ulaya

Habari msomaji wa makala hizi za wanyamapori, karibu tuendelee na uchambuzi wa ripoti yetu iliyokuwa inahusu kushamiri kwa biashara haramu ya meno ya tembo...

Mambo Usiyoyajua Kuhusu Nchi Za Umoja Wa Ulaya Zilivyochangia Kushamiri Kwa Ujangili Wa Tembo Barani Afrika.

Kwa muda wote ambao binadamu wamedumu katika uso wa dunia, tembo pia walikuwepo, lakini sasa tumeingia katika mshtuko mkubwa sana, tunaweza tukawa katika hatua...

UCHAMBUZI WA RIPOTI: Biashara Ya Hondo hondo (Helmented Hornbill, Rhinoplax vigil)

Biashara ya wanyamapori na mimea mwitu ni muhimu hapa duniani kwa ajili ya kukidhi baadhi ya mahitaji muhimu ya binadamu, tunahitaji wanyamapori na mimea...