Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

UCHMBUZI WA RIPOTI: Uhifadhi Wa Wanyamapori Na Tathimini Ya Biashara Haramu Nchini Kenya (WILDLIFE PROTECTION AND TRAFFICKING ASSESSMENT IN KENYA)

Vichocheo na mwenendo wa usafirishaji haramu wa wanyamapori nje ya nchi katika nchi ya Kenya na nafasi yake kama kiini cha kusafirisha biashara haramu...

UCHAMBUZI WA RIPOTI; Mapendekezo Yaliyotolewa Kukabilana Na Ujangili Na Biashara Haramu Ya Wanyama Na Mimea Mwitu Katika Nchi Ya Kenya.

Siku zote changamoto zinapotokea katika maisha tunatakaiwa kuzielewa na baada ya kuzielewa ndio hatua za utatuzi wake zinaanza kufanyika, hatutakiwi kukimbia changamoto kwenye maisha,...

UCHAMBUZI WA RIPOTI 3; Ujangili, Mfumo Wa Biashara Haramu Na Sababu Kuu Za Kushamiri Vitendo Hivyo Nchni Kenya.

Wanyamapori na mazingira yao asili ni uti wa mgongo wa sekta ya utalii nchini Kenya, na pamoja na ukweli huo bado nchi ya Kenya...

UCHAMBUZI WA RIPOTI SEHEMU YA 2; Hali Ya Ujangili Na Biashara Ya Meno ya Tembo Za Pembe Za Faru Nchini Kenya.

Hali na mwenendo wa ujangili na biashara haramu ya wanyama na mimea pori imekuwa tishio sana kwa sasa hapa duniani. Wanyamapori ambao wanawindwa sana...

UCHMBUZI WA RIPOTI: Historia Ya Nchi Ya Kenya Katika Uhifadhi Wa Wanyamapori

1.Historia ya jumla Kenya ni nchi yenye eneo kubwa la ardhi lenye ukubwa wa kilomita za mraba 582, 646 ikiwa na utajiri mkubwa wa bioanuwai...

Kushamiri Kwa Ujangili;Yaliyojificha Nyuma Ya Biashara Ya Usafirishaji Bidhaa Nje Ya Nchi

Usafirishaji umerahisisha sana maisha hapa duniani, mambo mengi yamewezekana kwa sababu ya uwepo wa usafiri wa uhakika na salama. Katika zama hizi ambazo ni...