Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Mifano ya Wanyamapori Watano (5) Waliotoweka Duniani na Waliopo Hatarini Kutoweka

Mpendwa msomaji wa Makala  za wanyamapori. Karibu katika Makala ya mifano mitano, Makala hii itatumia mifano kutufunza masuala anuani hususani juu kutoweka kwa wanyama...

Siku ya Wanawake Duniani, Nafasi ya Wanawake Kwenye Uhifadhi wa Maliasili

Heri ya siku ya wanawake duniani kwa wanawake wenzangu wote, Leo ni tarehe 8 machi mwaka 2024, ni siku ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani,...

Siku ya Wanyamapori Duniani; Tuwe Sehemu Muhimu ya Viumbe Wengine Kuishi

Taarifa kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa linalojihusisha na Mazingira (UNEP) pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa linalojihusisha na Uhifadhi wa Maliasili (IUCN),...

Somo la Vipande 12 vya Nyama ya Swala na Sheria za Uhifadhi

  Moja ya kesi iliyotikisa mkoa wa Iringa na Tanzania kwa ujumla ni kesi ya mama Maria Ngoda, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 22 baada ya...

Siku ya Kakakuona Duniani; Ujumbe Muhimu kwa Jamii

Kila tarehe 17 Februari, dunia inashangilia siku ya kakakuona duniani. Lengo la kuweka siku hii ni kutukumbusha umuhimu wa wanyama hawa na wajibu wetu...

Mila na Desturi za Kabila la Wahaya Zinavyochangia Katika Uhifadhi wa Wanyamapori na Mazingira Yao

Historia ya uhifadhi wa wanyamapori na mazingira yake imeandikwa sana kuanzia kipindi cha ukoloni ambapo Tanganyika ilikuwa  ikitawaliwa na mjerumani  na baadaye mwingereza. Katika...