Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Ijue Sehemu Muhimu Ya Elimu, Mafunzo Na Utafiti Katika Sekta Ya Wanyamapori Tanzania

Mara zote naamini katika elimu na maarifa sahihi ili kuongeza ufanisi kwenye eneo lolote. Kukosekana kwa taarifa na maarifa sahihi huleta kutojiamini na kufanya...

Usimamizi Wa Biashara Ya Kimataifa Ya Spishi Za Wanyamapori Na Sampuli

CITES ni kirefu cha Convention on International Trade in Endangered Species of Wild Fauna and Flora. Ikiwa na maana makubaliano ya kimataifa kuhusiana na...

Mikataba Ya Kimataifa Na Uhifadhi Wa Spishi Za Wanyamapori Tanzania

Habari Rafiki, karibu kwenye makala ya leo ambayo tunaendelea na uchambuzi wa sheria ya wanyamapori ya mwaka 2009. Leo tunaendelea na Sehemu ya 13...

Ufahamu Mfuko Wa Hifadhi Ya Wanyamapori Tanzania (Tanzania Wildlife Protection Fund)

Gharama za uendeshaji na usimamizi, vifaa na nguvu kazi kwenye kuhakikisha shughuli za uhifadhi wa wanyamapori zinafanyika vizuri na kwa ufanisi huwezi kutaja na...

Unataka Kuanzisha Au Kuwa Na Bustani (Zoos), Ranchi Au Mashamba Ya Kufugia Wanyamapori? Fuata Utaratibu Huu Wa Kisheria Kuanzisha.

Wildlife Ranching, Farming, Breeding and Sanctuaries Inawezakana kufuga wanyamapori? Inawezekana kuwa na mashamba ya wanyamapori?  Nani anatakiwa kujihusisha na ufugaji wa wanyamapori ni mgeni au...

Zifahamu Nyara Za Serikali Kwa Kina (Government Trophies)

Nishike hiki au kile, nifanye hiki au kile nisahihi kufanya jambo hili au ni kosa kufanya jambo hili, ni kosa kutofanya au kufanya jambo...