Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Kilio Kisichoisha Ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi

Nilikuwa nasafiri kwenda Iringa, kupitia barabara inayokatisha katika hifadhi ya Taifa ya Mikumi, tulipokuwa tunaingia hifadhi ya Taifa ya Mikumi ilibidi nigeuke upande wa...

Zifahamu Tabia za Spishi za Ndege Wanaohama Kutoka Nchi Moja Kwenda Nchi Nyingine

Utangulizi. Tanzania imebarikiwa kuwa na mazingira tofauti tofauti ambayo kwa ujumla wake imewezesha nchi yetu kuwa na zaidi ya spishi 1100 za ndege. Idadi hiyo...

Sababu Tisa (9) za Kushamiri kwa Ujangili na Biashara Haramu za Wanyamapori Kusini mwa Jangwa la Sahara

Uhifadhi wa wanyamapori una faida nyingi kuliko hasara wanazosababisha wanyamapori. Uwepo wa wanyamapori katika maeneo yao unaleta faida nyingi za kimazingira, kiuchumi, kitamaduni na...

Zijue Sababu Zinazochangia Binadamu Kuzoesha/Kuzoeana na Wanyamapori (Wildlife Habituation)

Utangulizi Kuzoesha wanyamapori ni kitendo ambacho kinafanywa kwa kudhamiria au kutokudhamiria ili kuhakikisha kwamba wanyamapori wanakuwa karibu na binadamu. Kitendo hicho kinaweza kufanyika kwa Wanyama...

Magonjwa Manne Hatari Zaidi kwa Watumiaji wa Nyamapori

Utangulizi wa mwandishi; Mwandishi wa Makala hii ni mtafiti mzoefu kwenye masuala yanayohusiana na mazingira, wanyamapori na binadamu kwa zaidi ya miaka kumi na saba....

Yajue Magonjwa Ambayo Binadamu Anaweza Kuyapata Kutoka kwa Wanyamapori

Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la matumizi ya wanyamapori ikiwa kama vile kitoweo, urembo, maonyesho, mavazi na dawa za kienyeji....