Uhifadhi endelevu wa wanyamapori unahitaji tafiti za kina za mara kwa mara kwa kutumia mbinu sahihi zilizohakikiwa ili kuleta matokeo halisi yanayosaidia katika kuweka mipango endelevu ya uhifadhi. Tafiti ni
Ikolojia
Utangulizi Katika misitu, mashamba na karibu na makazi ya watu, nyakati za usiku husikika sauti zisizo za kawaida. Jua linapozama huamka ndege wawindaji ambao mara nyingi huonekana kama ishara ya
Nukuu: “Mikoko ni hazina isiyothaminiwa, yenye uwezo wa kufyonza kaboni mara nne zaidi ya miti ya nchi kavu.” Mazingira ya bahari yanahusisha maeneo yote yanayozunguka bahari ikijumuisha fukwe za bahari,
Kwezi Maridadi au Kuzi ni ndege wa kuvutia kutoka familia ya Musophagidae, anayejulikana kwa manyoya yake ya rangi ang’avu kama bluu-kijani, nyeusi, nyeupe na nyekundu kahawia. Anapatikana maeneo ya uoto
Je, unafahamu kuwa Tanzania ina aina 3 za kakakuona? Katika spishi au aina 4 za kakakuona wanaopatikana Afrika, Tanzania ina aina 3 za kakauona, ambao ni Kakakuona wa ardhini (Ground
Kijito (stream) ni mto mdogo, kijito kwa kawaida huwa na kiasi cha maji yanayotiririka ndani yake kuliko mto. Ikolojia ya Kijito ni namna mfumo wa kifizikia, kikemikali na kibaiolojia unavyoingiliana
Zaidi ya asilimia 21 (21%) ya viumbe aina ya reptilia wapo hatarini kutoweka duniani. Reptilia ni wanyama wenye damu baridi, ambao miili yao ina magamba, na pia hutaga mayai. Mfano
Uhifadhi maana yake ni juhudi za kutunza na kudhibiti matumizi ya rasilimali za asili ili kuhakikisha zinadumu katika vizazi vya sasa na vijavyo. Kwa maana nyingine tunaweza kusema kwamba ni
Utangulizi Biashara ya hewa ukaa ni miongoni mwa biashara kubwa duniani hususani katika nchi zinazoendelea ambapo uchafuzi wa mazingira haujakithiri kwa kiasi kikubwa. Ni fursa mpya ya biashara ambayo bado
Ndege maji ni moja ya kundi muhimu sana la ndege katika uhifadhi, utalii na uchumi. Ndege wa maji au kama wanavyojulikana kwa kingereza waterbirds, ni ndege ambao mara nyingi hutegemea
Load More











