More

    Ikolojia

    Zijue Sifa Mbalimbali Za Mbwa Mwitu Wa Afrika Na Utofauti Wake Na Mbwa Wa Kufugwa

    Mbwa mwitu wa Afrika (African Wild Dog) ni mnyama wa porini mwenye umbo la mbwa wafugwao japokuwa wana utofauti wa moja kwa moja kwenye...

    Mambo Usiyoyajua Kuhusu Pundalimia; Mnyama Mwenye Rangi Za Kumchanganya Adui

     Hakika kuna wanyama wengi waliopambwa kwa rangi nzuri katika ngozi zao ambazo huvutia  kuwatazama wakati wa utalii mfano twiga, chui, duma, na ndegewenye rangi...

    Heroe (Flamingo) Hatarini Kutoweka Katika Ziwa Balangda, Fahamu Chanzo Na Sababu Zinazotishia Uhai Wa Ndege Hawa

    Ndugu wasomaji wa makala hizi za wanyamapori, kama ilivo kawaida yetu tunapo pata wasaa kama hivi basi hatuna budi kujuzana machache na yenye thamani...

    Fahamu Upekee Wa Samaki Kampango Anaepatika Ziwa Nyasa.

    Ziwa nyasa  ni miongoni mwa maziwa matatu makubwa yanayopatikana  Kusini mwa Afrika na Afrika Mashariki, neno nyasa limetokana na lugha ya chichewa (malawi) ikiwa...

    Tabia Kumi (10) Za Tembo Zinazofanana Na Tabia Za Binadamu

    Binadamu ni kiumbe mwenye sifa za kipekee ukilinganisha na viumbe wengine. Kibaiologia binadamu yaani spishi ya Homo sapiensi imekaribiana sana na wanyama jamii ya...

    Yajue Maeno Yenye Urith Wa Kidunia Yanayopatikana Tanzania

    Kheri ya mwaka mpya 2021, mpendwa msomaji wa blog yetu! Naamini umzima na unaendelea vyema na majukumu mbalimbali ya kujikwamua kimaisha. Karibu tena tujifunze...

    Mfahamu Ndege Mvivu Na Asiyependa Kujishughulisha.

    Mpenzi msomaji wa  makala zetu tunashukuru kwa kutenga muda wako na kusoma makala mbalimbali  ambazo zinachapishwa katika blog yetu ya http://wildlifetanzania.home.blog  . Kwa ufupi...

    Sababu na Athari za Watu Kushiriki Uwindaji Haramu “Ujangili”.

    Ujangili ni uwindaji haramu unaohusisha tendo la kuwinda wanyama, kukamata au kuua wanyama unaofanywa bila kibali au kinyume cha sheria za nchi husika. Ujangili...

    Zijue Sifa Za Wanyama Jamii Ya Swala

    Duniani kuna wanyama jamii ya swala aina 90 ambapo bara la Afrika peke zipo jamii 71. Swala wanapatikana marneo mbali mbali duniani ikiwemo Africa...

    Latest articles