More

    Ikolojia

    Mfahamu Kimulimuli Mdudu Wa Kushangaza Aliyehatarini Kutoweka

    Sote katika hatua moja ya kukua tumewahi kujiuliza na kuwastaajabia viumbe ambao wanawaka taa Usiku. Kimulimuli ni jina la kiswahili la mdudu mdogo mwenye ukubwa...

    Mjue Nyegere Mnyama Jasiri, Aliyejaa Wivu, Mbishi, Na Mwenye Upendo Wa Ajabu

    Nyegere jina lake la kingereza anaitwa “Honey badger” na jina lake la kisayansi anajulikana kama “Mellivora capensis” Nyegere ni mnyama anayepatikana kusini mwa Asia, Iran...

    Zijue Hifadhi Za Taifa Kusini Mwa Tanzania, Fursa Zilizopo Na Changamoto Zinazochangia Ukuaji Mdogo Wa Sekta Ya Utalii Katika Ukanda Huu.

    Habari mpendwa msomaji wetu wa darasa huru la makala zetu za wanyamapori na uhifadhi kwa ujumla, ni matumaini yangu umzima na bukheri wa afya...

    Mambo Ya Kushangaza Usiyoyajua Kuhusu Papa Potwe (Whale Shark)

    Papa Potwe ni samaki mkubwa baharini ingawa wengi wetu hupinga na kusema kuwa Nyangumi ndiye samaki mkubwa lakini Nyangumi ni Mamalia na sababu hii...

    Fahamu Jinsi Wanyamapori Walivyo Na Mahusiano Ya Karibu Na Binadamu Hasa Wakati Wa Kuwasiliana.

    Mada; Miongoni mwa rafiki wachache tulionao porini (mbugani) ni pamoja na ndege huyu Mwenzi wa asali, mwenye uwezo mkubwa wa kusikia sauti ya binadamu...

    Haya Ndio Mambo Usiyoyajua Tunayofanana Binadamu Na Mnyama Twiga

    Habari mpendwa msomaji wetu wa makala za wanyamapori, ni matumaini yangu umzima wa afya na mwenye nguvu nyingi za kupambana na michakato mbalimbali ya...

    Jinsi Wanyamapori Wanavotumia Vinyesi, Mikojo, Mizoga, Majani Ya Miti Na Matunda Katika Kuendesha Shughuri Zao Za Kila Siku.

    Habari mpenzi msomaji wa makala hizi za  maliasili , Bila shaka ni mzima na buheri wa afya. Matumaini yangu tunaendelea kujifunza mengi kutokana na...

    Haya Ndio Mambo Ya Kushangaza Usiyofahamu Kabisa Kuhusu Simbamangu

    Habari za mwisho wa wiki ndugu zangu wasomaji wa makala za wanyamapori. Siku zote huwa nasema upatapo wasaa wa kufanya shughuli zako huku ukiwa...

    Yafahamu Maeneo Kumi Na Tatu (13) Yenye Utajiri Mkubwa Wa Ndege Nchini Tanzania

    Habari mpendwa msomaji wetu wa makala za wanyamapori, naamini Mwenyezi Mungu bado anatujalia sote uzima na nguvu za kuendelea kupambana na maisha. Karibu tena...

    Latest articles