More

    Ikolojia

    Mambo Muhimu Tisa (9) Tunayopaswa Kuyajua Na Kuyafanyia Kazi Katika Uhifadhi Wa Wanyamapori Na Maliasili Nyingine Kwa Mwaka 2019.

    Kila siku kuna vitu tunafanya ikiwa ni njia mojawapo ya kujipatia mahitaji ya kila siku kutoka kwenye mazingira yetu mfano matunda, chakula na mara...

    Salamu Za Mwaka 2019; Shukrani Kwa Wasomaji Na Wale Tuliofanya Kazi Pamoja Mwaka 2018.

    Habari ndugu msomaji wa makala zetu za utalii na uhifadhi wa wanyamapori na mazingira yake. Naamini umekuwa na mapumziko mazuri ya vipindi vyote vya...

    Mambo Nane (8) Usiyoyajua Kuhusu Tembo Wa Afrika

    Tembo wa Afrika (Loxodonta Africana), ndiye mnyama mkubwa kuliko wote waishio nchi kavu. Mnyama huyu ni jamii ya wanyama walao majani (herbivores). Tembo hawa...

    Mwaka 2018 Usiishe Hujafanya Jambo Hili Muhimu Katika Maisha Yako!

    Habari ndugu msomaji wa makala za uhifadhi wa wanyamapori na utalii, karibu tena leo kwenye makala muhimu sana ambayo nimepanga kukuandikia mambo muhimu yatakayokufanya...

    Kuhusu LEO KATIKA UHIFADHI; Kutana Na Mhifadhi Leena, Akilia Madhara Yanayoletwa Na Ujangili Wa Wanyamapori

    Ujangili ni kitendo cha uwindaji haramu usio na kibali chochote chini ya mamlaka husika za wanyama pori. Mfano nchi yetu imebarikiwa sana wanyamapori pamoja na...

    Idadi Kubwa Ya Kanivora Katika Eneo La Ruaha, Ukosefu Wa Taarifa Za Kitafiti Kunavyozuia Kuweka Mipango Bora Ya Uhifadhi.

    Mandhari ya hifadhi ya Ruaha ni sehemu muhimu sana inayopewa kipaumbele kimataifa kwa ajili ya uwepo wa kanivora wakubwa, katika sehemu hii muhimu inakadiriwa...

    Kwanini Tuhifadhi Wanyamapori Na Mazingira Yake Asilia?

    Uhifadhi wa wanyamapori na mazingira asilia, unagusa mambo mengi na maeneo mengi, hata hivyo serikali ya Tanzania imejitahidi sana kutenga maeneo ya kutosha kwa...

    LEO KATIKA UHIFADHI; Kutana Na Muhifadhi Lucy Na Kauli Mbiu yake, “Nisipohifadhi Wanyamapori Sioni Utu Wangu”

    Wapendwa wasomaji wa makala za wanyamapori na maliasili kiujumla, ninayo furaha isiyokifani kuwashirikisha hisia nilizonazo kuhusu uhifadhi wanyamapori zinazonipelekea kusema “NISIPOHIFADHI WANYAMAPORI SIONI UTU...

    Zifahamu Hatua Kumi Na Mbili (12) Zilizopendekezwa Kuchukuliwa Katika Uhifadhi Wa Kakakuona

    Habari Rafiki yangu, naamini umekuwa na siku nzuri naya kipeke sana, leo katika makala ya wanyamapori nimetamani nikushirikishe mambo muhimu 18 ambayo yalipendekezwa na...

    Latest articles