More

    Ikolojia

    UCHAMBUZI WA RIPOTI 3; Ujangili, Mfumo Wa Biashara Haramu Na Sababu Kuu Za Kushamiri Vitendo Hivyo Nchni Kenya.

    Wanyamapori na mazingira yao asili ni uti wa mgongo wa sekta ya utalii nchini Kenya, na pamoja na ukweli huo bado nchi ya Kenya...

    UCHAMBUZI WA RIPOTI SEHEMU YA 2; Hali Ya Ujangili Na Biashara Ya Meno ya Tembo Za Pembe Za Faru Nchini Kenya.

    Hali na mwenendo wa ujangili na biashara haramu ya wanyama na mimea pori imekuwa tishio sana kwa sasa hapa duniani. Wanyamapori ambao wanawindwa sana...

    UCHMBUZI WA RIPOTI: Historia Ya Nchi Ya Kenya Katika Uhifadhi Wa Wanyamapori

    1.Historia ya jumla Kenya ni nchi yenye eneo kubwa la ardhi lenye ukubwa wa kilomita za mraba 582, 646 ikiwa na utajiri mkubwa wa bioanuwai...

    Kushamiri Kwa Ujangili;Yaliyojificha Nyuma Ya Biashara Ya Usafirishaji Bidhaa Nje Ya Nchi

    Usafirishaji umerahisisha sana maisha hapa duniani, mambo mengi yamewezekana kwa sababu ya uwepo wa usafiri wa uhakika na salama. Katika zama hizi ambazo ni...

    Barua Hii Isomwe Na Marafiki Zangu Wote

    Katika kipindi hiki ambacho dunia inashuhudia mauaji makubwa ya wanaymapori na uharibifu mkubwa wa mazingira asilia hatua mbali mbali zimechukuliwa hadi sasa, vikundi vingi...

    Unazijua Spishi Ngapi Za Swala? Hakika Unahitaji Kumfahamu Taya Mwenye Sifa Za Kipekee Za Kusisimua

    Habari za siku kidogo kwani tumepotezana kwa muda sasa na hasa kutokana na changamoto zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Lakini kwa sasa nadhani nimerudi...

    Tuna Nafasi Ya Kuwa Bora Kwenye Sekta Hii Muhimu

    Habari msomaji wa mtandao wetu wa wildlife Tanzania, karibu kwenye makala hii tushirikishane yale ya msingi ambayo yanatupasa kuyaua ili kuweka uelewa mzuri kwenye...

    Maeneo Ya Hifadhi Ya Jamii WMA Na Ufanisi Wake

    Katika harakati za kuhifadhi wanyamapori na rasilimali nyingine, ili ziwe na faida kwa kizazi cha sasa na kizazi cha baadaye tunatakiwa kuwa na jamii...

    Mambo Haya Ndio Yanayosababisha Tembo Na Faru Wasifike Miaka 20 Ijayo

    Tunatumia mamilioni ya dola za kimarekani, na kuweka maisha yetu hatarini ili kuwatunza wanyamapori ambao tunaamini wana thamani kubwa kwa maisha yetu na maisha...

    Latest articles