Ikolojia

Mimea Dawa na Misitu Ilivyo Muhimu kwa Maisha ya Sasa na Baadaye

Siku ya wanyamapori duniani inatukumbusha kutafakari namna tunavyoishi na mazingira yanayotuzunguka. Mazingira kama misitu, miti, maji, hali ya hewa, wanyama na wadudu. Hivyo siku ya wanyamapori duniani inatupa nafasi kutafakari...

Safari ya Hillary Thomas Mrosso Katika Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania

Wakati nasoma elimu ya msingi na sekondari, nilikuwa na ndoto za kuwa daktari wa binadamu, hivyo nilipenda sana...

Zijue Sababu za TAWIRI Kukataa Matokeo ya Utafiti wa Duporge na Wenzake Kuhusu Idadi ya Nyumbu Katika Eneo la Serengeti – Masai Mara,...

Uhifadhi endelevu wa wanyamapori unahitaji tafiti za kina za mara kwa mara kwa kutumia mbinu sahihi zilizohakikiwa ili...

SHAIRI: Tutunze Makazi ya Simba

1.Ndugu zangu karibuni, nina jambo kutamka Simba wapo hatarini, majangili wawasaka Waharibu masikani, kuvuka yao mipaka Simba wanayo thamani, tutunze makazi...

Shairi: Agosti kumi ya Simba

Leo twendeni mbugani, utalii mbuga zetu Huko leo kuna nini, nataka ninene kitu Leo huko duniani, siku ya bingwa wa...
spot_img

Kama Uhifadhi Wa Maliasili Zetu Haupo Sawa, Hakuna Kitakachokwenda Sawa

Habari msomaji wa makala hizi za uhifadhi wa wanyamapori, karibu katika makala ya leo, tukumbushane kidogo kuhusu umuhimu wa uhifadhi wa maliasili zetu. Kama...

LEO KATIKA UHIFADHI; Ushiriki Wa Jamii Katika Mpango Wa Matumizi Bora Ya Ardhi

Habari Rafiki unaweza kujiuliza,kulikoni mambo ya ardhi na uhifadhi wa maliasili? Ndio ni muhimu sana tukaangalia sehemu muhimu sana katika uhifadhi wa maliasili zetu...

LEO KATIKA UHIFADHI: Mipango Ya Matumizi Bora Ya Ardhi Na Uhifadhi

Kadri siku na miaka inavyokwenda ndivyo idadi ya watu inazidi kuongezeka hapa duniani, hali hii ya ongezeko la idadi ya watu inaenda sambamba na...

LEO KATIKA UHIFADHI; Migogoro Ya Ardhi Inasababisha Umasikini Kwa Jamii

Sehemu yoyote yenye vita, migogoro ya mara kwa mara husababisha hali duni ya maisha kwa wanajamii wanaoishi kwenye maeneo hayo. Kuna migogoro mingi sana...

LEO KATIKA UHIFADHI; Changamoto Na Uhifadhi Wa Maliasili

Faida za kiuchumi, kiikolojia na za kimazingira tunzaopata kutokana na uwepo wa wanyamapori zimekuwa ndio zinatufanya kukaa chini kila wakati na kubuni mbunu bora...

SIKU YA USAFI DUNIANI; Wajibu Wa Kila Mtu

Habari Rafiki yangu, mara kwa mara huwa tunaandika makala za wanyamapori, uhifadhi na utalii, ambazo zinalenga kutoa elimu na kuwahamasisha watu kutembelea vivutio  na...
spot_img