Ikolojia

Mimea Dawa na Misitu Ilivyo Muhimu kwa Maisha ya Sasa na Baadaye

Siku ya wanyamapori duniani inatukumbusha kutafakari namna tunavyoishi na mazingira yanayotuzunguka. Mazingira kama misitu, miti, maji, hali ya hewa, wanyama na wadudu. Hivyo siku ya wanyamapori duniani inatupa nafasi kutafakari...

Safari ya Hillary Thomas Mrosso Katika Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania

Wakati nasoma elimu ya msingi na sekondari, nilikuwa na ndoto za kuwa daktari wa binadamu, hivyo nilipenda sana...

Zijue Sababu za TAWIRI Kukataa Matokeo ya Utafiti wa Duporge na Wenzake Kuhusu Idadi ya Nyumbu Katika Eneo la Serengeti – Masai Mara,...

Uhifadhi endelevu wa wanyamapori unahitaji tafiti za kina za mara kwa mara kwa kutumia mbinu sahihi zilizohakikiwa ili...

SHAIRI: Tutunze Makazi ya Simba

1.Ndugu zangu karibuni, nina jambo kutamka Simba wapo hatarini, majangili wawasaka Waharibu masikani, kuvuka yao mipaka Simba wanayo thamani, tutunze makazi...

Shairi: Agosti kumi ya Simba

Leo twendeni mbugani, utalii mbuga zetu Huko leo kuna nini, nataka ninene kitu Leo huko duniani, siku ya bingwa wa...
spot_img

Masoko Ya Meno Ya Tembo Yaliyopo Ulaya Ambayo Hujawahi Kuyasikia Kabisa

Umoja wa Ulaya una sheria kwamba bidhaa ambazo zimetengenezwa na meno ya tembo au meno ya tembo yaliyochakatwa ambayo yalipatikana kabla ya mwaka 1947...

Teknolojia Ya Kutumia RADIOCARBON Ilivyosaidia Katika Vita Dhidhi Ya Ujangili Na Biashara Haramu Katika Nchi Za Umoja wa Ulaya

Habari msomaji wa makala hizi za wanyamapori, karibu tuendelee na uchambuzi wa ripoti yetu iliyokuwa inahusu kushamiri kwa biashara haramu ya meno ya tembo...

Mambo Usiyoyajua Kuhusu Nchi Za Umoja Wa Ulaya Zilivyochangia Kushamiri Kwa Ujangili Wa Tembo Barani Afrika.

Kwa muda wote ambao binadamu wamedumu katika uso wa dunia, tembo pia walikuwepo, lakini sasa tumeingia katika mshtuko mkubwa sana, tunaweza tukawa katika hatua...

UCHAMBUZI WA RIPOTI: Biashara Ya Hondo hondo (Helmented Hornbill, Rhinoplax vigil)

Biashara ya wanyamapori na mimea mwitu ni muhimu hapa duniani kwa ajili ya kukidhi baadhi ya mahitaji muhimu ya binadamu, tunahitaji wanyamapori na mimea...

Tunaweza Kutatua Migogoro Ya Watu Na wanyamapori Kwa Kuzingatia Ushauri Huu

Habari msomaji wa makala za kila siku za maliasili na wanyamapori, karibu kwenye makala ya leo tujifunze na kufikiri kwa pamoja njia bora ya...

BARUA YA WAZI; Siku Ya Askari Wa Wanyamapori Duniani.

Kila mwaka tarehe 31 Julai, dunia inasherekea siku ya askari wa wanyamapori. Askari wa wanyamapori au kama wanavyoitwa kwa kingereza Rangers, ni watu muhimu...
spot_img