Ikolojia

Mimea Dawa na Misitu Ilivyo Muhimu kwa Maisha ya Sasa na Baadaye

Siku ya wanyamapori duniani inatukumbusha kutafakari namna tunavyoishi na mazingira yanayotuzunguka. Mazingira kama misitu, miti, maji, hali ya hewa, wanyama na wadudu. Hivyo siku ya wanyamapori duniani inatupa nafasi kutafakari...

Safari ya Hillary Thomas Mrosso Katika Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania

Wakati nasoma elimu ya msingi na sekondari, nilikuwa na ndoto za kuwa daktari wa binadamu, hivyo nilipenda sana...

Zijue Sababu za TAWIRI Kukataa Matokeo ya Utafiti wa Duporge na Wenzake Kuhusu Idadi ya Nyumbu Katika Eneo la Serengeti – Masai Mara,...

Uhifadhi endelevu wa wanyamapori unahitaji tafiti za kina za mara kwa mara kwa kutumia mbinu sahihi zilizohakikiwa ili...

SHAIRI: Tutunze Makazi ya Simba

1.Ndugu zangu karibuni, nina jambo kutamka Simba wapo hatarini, majangili wawasaka Waharibu masikani, kuvuka yao mipaka Simba wanayo thamani, tutunze makazi...

Shairi: Agosti kumi ya Simba

Leo twendeni mbugani, utalii mbuga zetu Huko leo kuna nini, nataka ninene kitu Leo huko duniani, siku ya bingwa wa...
spot_img

Unafikiri Utoaji Wa Fidia Kutokana Na Uharibifu Unaosababishwa Na Wanyamapori Ni Njia Nzuri Ya Kuwa Na Uhifadhi Endelevu? Soma Makala Hii Kujua Ukweli Wa...

Habari Rafiki, karibu katika makala zetu za kila siku kuhusu uhifadhi wa wanyamapori, maliasili na utalii tunazojifunza hapa katika mtandao wetu wa wildlife Tanzania....

Uchambuzi Wa Jarida La TRAFFIC, Mambo Usiyoyajua Kuhusu Nchi Ya Cambodia Kujihusisha Na Biashara Haramu Ya Meno Ya Tembo Na Pembe Za Faru, Nchi...

Biashara ya wanyamapori na mimea mwitu ni muhimu hapa duniani kwa ajili ya kukidhi baadhi ya mahitaji muhimu ya binadamu, tunahitaji wanyamapori na mimea...

Namna Bora Ya Kubadili Matumizi Ya Dawa Asilia Za Kichina Nchini Malasia Zinazotengenezwa Na Nyongo Na Mnyama Anayeitwa Bear (bear bile).

Alternatively effective: a conference on substitutes to bear bile in traditional Chinese medicine in Malaysia Matumizi ya sehemu za miili na viungo vya wanyamapori kwa...

Mambo Usiyoyajua Kuhusu Nchi Ya Cambodia Ilivyo Kitovu Kikuu Cha Kushamiri Kwa Biashara Haramu Ya Meno Ya Tembo Na Pembe Za Faru.

Cambodia ni kiini cha kuongezeka kwa biashara ya meno ya tembo na pembe za faru kutoka katika bara la Afrika. (Cambodia’s increasing role in...

UCHMBUZI WA RIPOTI: Uhifadhi Wa Wanyamapori Na Tathimini Ya Biashara Haramu Nchini Kenya (WILDLIFE PROTECTION AND TRAFFICKING ASSESSMENT IN KENYA)

Vichocheo na mwenendo wa usafirishaji haramu wa wanyamapori nje ya nchi katika nchi ya Kenya na nafasi yake kama kiini cha kusafirisha biashara haramu...

UCHAMBUZI WA RIPOTI; Mapendekezo Yaliyotolewa Kukabilana Na Ujangili Na Biashara Haramu Ya Wanyama Na Mimea Mwitu Katika Nchi Ya Kenya.

Siku zote changamoto zinapotokea katika maisha tunatakaiwa kuzielewa na baada ya kuzielewa ndio hatua za utatuzi wake zinaanza kufanyika, hatutakiwi kukimbia changamoto kwenye maisha,...
spot_img