Ikolojia

Mimea Dawa na Misitu Ilivyo Muhimu kwa Maisha ya Sasa na Baadaye

Siku ya wanyamapori duniani inatukumbusha kutafakari namna tunavyoishi na mazingira yanayotuzunguka. Mazingira kama misitu, miti, maji, hali ya hewa, wanyama na wadudu. Hivyo siku ya wanyamapori duniani inatupa nafasi kutafakari...

Safari ya Hillary Thomas Mrosso Katika Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania

Wakati nasoma elimu ya msingi na sekondari, nilikuwa na ndoto za kuwa daktari wa binadamu, hivyo nilipenda sana...

Zijue Sababu za TAWIRI Kukataa Matokeo ya Utafiti wa Duporge na Wenzake Kuhusu Idadi ya Nyumbu Katika Eneo la Serengeti – Masai Mara,...

Uhifadhi endelevu wa wanyamapori unahitaji tafiti za kina za mara kwa mara kwa kutumia mbinu sahihi zilizohakikiwa ili...

SHAIRI: Tutunze Makazi ya Simba

1.Ndugu zangu karibuni, nina jambo kutamka Simba wapo hatarini, majangili wawasaka Waharibu masikani, kuvuka yao mipaka Simba wanayo thamani, tutunze makazi...

Shairi: Agosti kumi ya Simba

Leo twendeni mbugani, utalii mbuga zetu Huko leo kuna nini, nataka ninene kitu Leo huko duniani, siku ya bingwa wa...
spot_img

Yajue Madhara ya Moto Kichaa Katika Maeneo Yaliyo Hifadhiwa Tanzania

Maana ya Moto Kichaa Moto kichaa ni moto ambao hutokea kwa bahati mbaya au kusudi, ambao mara nyingi ni ngumu sana kuudhibiti. Katika maeneo yaliyohifadhiwa,...

Fahamu Ulimwengu wa Kasa wa Baharini

Kasa wa bahari ni reptilia wa order testidunes, familia ya chelonida. Kuna aina saba ya spishi za kasa wa bahari duniani ambazo ni flatback...

Dereva Punguza Mwendo, Utagonga Wanyamapori Wetu

Kila mara tunapata na kusikia taarifa nyingi za wanyamapori kugongwa na magari, idadi kubwa ya wanyamapori wanaokufa, kuvunjika na kusababishiwa vilema inaongezeka. Wanyamapori muhimu...

Mjue Ndege Tumbusi, Spishi Zake na Faida Zake Katika Mazingira

Tumbusi ni ndege wakubwa wa mawindo wa familia ya Accipitridae na Carthatidae. Tumbusi ni ndege wanaokula mizoga hasa katika maeneo ya hifadhi za wanyama...

Mchango wa Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Katika Uhifadhi wa Wanyamapori

Habari ndugu wasomaji wa makala hizi za wanyamapori na pole kwa majukumu mazito ya kulijenga taifa. Katika kuadhimisha wiki ya NENDA KWA USALAMA BARABARANI...

Mjue Swila Mwekundu: Nyoka Wenye Uwezo wa Kujihami kwa Sumu

Habari ndugu msomaji wa makala hizi za wanyamapori. Tunaendelea na mfululizo wa uchambuzi wa nyoka jamii ya swila na leo nakuletea aina nyingine ya...
spot_img