Ikolojia

Mimea Dawa na Misitu Ilivyo Muhimu kwa Maisha ya Sasa na Baadaye

Siku ya wanyamapori duniani inatukumbusha kutafakari namna tunavyoishi na mazingira yanayotuzunguka. Mazingira kama misitu, miti, maji, hali ya hewa, wanyama na wadudu. Hivyo siku ya wanyamapori duniani inatupa nafasi kutafakari...

Safari ya Hillary Thomas Mrosso Katika Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania

Wakati nasoma elimu ya msingi na sekondari, nilikuwa na ndoto za kuwa daktari wa binadamu, hivyo nilipenda sana...

Zijue Sababu za TAWIRI Kukataa Matokeo ya Utafiti wa Duporge na Wenzake Kuhusu Idadi ya Nyumbu Katika Eneo la Serengeti – Masai Mara,...

Uhifadhi endelevu wa wanyamapori unahitaji tafiti za kina za mara kwa mara kwa kutumia mbinu sahihi zilizohakikiwa ili...

SHAIRI: Tutunze Makazi ya Simba

1.Ndugu zangu karibuni, nina jambo kutamka Simba wapo hatarini, majangili wawasaka Waharibu masikani, kuvuka yao mipaka Simba wanayo thamani, tutunze makazi...

Shairi: Agosti kumi ya Simba

Leo twendeni mbugani, utalii mbuga zetu Huko leo kuna nini, nataka ninene kitu Leo huko duniani, siku ya bingwa wa...
spot_img

Mfahamu Kwa Kina Pimbi Wa Miamba Mwenye Uwezo Wa Kula Vitu Vyenye Sumu Na Akaendelea Kuishi

Ni siku nyingine tena ndugu msomaji wa makala za wanyamapori nakualika katika darasa hili huru ili kujua wanyamapori na sifa zao hali kadhalika changamoto...

Barua Ya Wazi 5; Hadi Sasa Umepanda Miti Mingapi?

Habari za leo msomaji wa mandao huu, karibu kwenye barua yetu ya leo, kila jumapili nimepanga kukuandikia barua moja ya wazi, barua hii ni...

Uongozi, Maono, Na Uwajibikaji Katika Sekta Ya Maliasili

“Here is your country. Cherish these natural wonders, cherish the natural resources, cherish the history and romance as a sacred heritage, for your children...

Dhana Ya Uhifadhi Na Matumizi Endelevu Kwenye Maliasili

Habari  msomaji wa makala za wildlife Tanzania, karibu kwenye makala yetu ya leo tunajifunza kwa pamoja kuhusu matumizi endelevu. Matumizi endelevu ni dhana ambayo...

Kilimo Na Uhifadhi Wa Maliasili, Changamoto Kubwa Inayohitaji Kutatuliwa

Habari msomaji wa wildlife Tanzania, karibu kwenye makala ya leo tutaangazia jcho letu kwenye mahusiano ya wakulima na wanyamapori au wanyama wanaoharibu mazao ya...

Mahusiano Kati Ya Wafugaji Na Wanyamapori Mambo Muhimu Ya kujifunza

Habari msomaji wa makala za wildlife Tanzania, karibu kwenye makala ya leo ambayo tutaangazia mambo yanayotokea kwenye maeno mengi hapa nchini. Kuna jambo nataka...
spot_img