Ikolojia

Mimea Dawa na Misitu Ilivyo Muhimu kwa Maisha ya Sasa na Baadaye

Siku ya wanyamapori duniani inatukumbusha kutafakari namna tunavyoishi na mazingira yanayotuzunguka. Mazingira kama misitu, miti, maji, hali ya hewa, wanyama na wadudu. Hivyo siku ya wanyamapori duniani inatupa nafasi kutafakari...

Safari ya Hillary Thomas Mrosso Katika Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania

Wakati nasoma elimu ya msingi na sekondari, nilikuwa na ndoto za kuwa daktari wa binadamu, hivyo nilipenda sana...

Zijue Sababu za TAWIRI Kukataa Matokeo ya Utafiti wa Duporge na Wenzake Kuhusu Idadi ya Nyumbu Katika Eneo la Serengeti – Masai Mara,...

Uhifadhi endelevu wa wanyamapori unahitaji tafiti za kina za mara kwa mara kwa kutumia mbinu sahihi zilizohakikiwa ili...

SHAIRI: Tutunze Makazi ya Simba

1.Ndugu zangu karibuni, nina jambo kutamka Simba wapo hatarini, majangili wawasaka Waharibu masikani, kuvuka yao mipaka Simba wanayo thamani, tutunze makazi...

Shairi: Agosti kumi ya Simba

Leo twendeni mbugani, utalii mbuga zetu Huko leo kuna nini, nataka ninene kitu Leo huko duniani, siku ya bingwa wa...
spot_img

Yafahamu Haya Kunapokuwa Na Kubatilishwa Au Mabadiliko Kwenye Sheria Ya Uhifadhi Wa Wanyamapori.

(Part XIX; Repeal, Savings and Transitional Provisions) Habari Rafiki, karibu kwenye makala yetu ya leo ambayo tunachambua sheria yetu ya wanyamapori ya mwaka 2009. Naamini...

Ifahamu Zawadi Inayotolewa Kwa Mtu Yeyote Anayetoa Taarifa Zitakazopelekea Kukamatwa Kwa Wanaovunja Sheria Ya Wanyamapori.

Kwenye kila kazi njema kuna baraka, kwenye kila kazi njema kuna thawabu. Kila tendo jema linalofanywa hapa chini ya jua kuna thawabu yake, hakuna...

Jifunze Kupitia Takwimu Hizi, Hali Ya Utalii Mamlaka Ya Hifadhi Ya Eneo La Ngorongoro

Habari msomaji wa makala za wildlife Tanzania, karibu kwenye tafakari ndogo kuhusu hali ya utalii kwenye baadhi ya hifadhi za taifa na maeneo mengine...

Hawa Ndio Wanyamapori Hatari Waliotajwa Na Sheria Ya Wanyamapori

Kuna vitu vipo kwenye mazingira ya kawaida lakini watu wengi hatujui madhara yake mpaka ukitumie au kuona mwingine anakitumia. Uelewa wa kitu au vitu...

Orodha Ya Ndege Wa Kuwindwa (Game Birds)

Habari msomaji wa makala za wildlife Tanzania, karibu kwenye makala nyingine ya leo, ni makala nzuri sana, kwa sababu itakujuza mambo mengi ambayo huyajui...

Jedwali La Tatu, Wafahama Wanyama Ambao Ni Big Game

Habari msomaji wa makala za wildlife Tanzania, karibu  kwenye makala ya leo, tunaelekea elekea ukingoni kabisa mwa uchambuzi wa sheria hii ya wanyamapori ya...
spot_img