Ikolojia

Mimea Dawa na Misitu Ilivyo Muhimu kwa Maisha ya Sasa na Baadaye

Siku ya wanyamapori duniani inatukumbusha kutafakari namna tunavyoishi na mazingira yanayotuzunguka. Mazingira kama misitu, miti, maji, hali ya hewa, wanyama na wadudu. Hivyo siku ya wanyamapori duniani inatupa nafasi kutafakari...

Safari ya Hillary Thomas Mrosso Katika Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania

Wakati nasoma elimu ya msingi na sekondari, nilikuwa na ndoto za kuwa daktari wa binadamu, hivyo nilipenda sana...

Zijue Sababu za TAWIRI Kukataa Matokeo ya Utafiti wa Duporge na Wenzake Kuhusu Idadi ya Nyumbu Katika Eneo la Serengeti – Masai Mara,...

Uhifadhi endelevu wa wanyamapori unahitaji tafiti za kina za mara kwa mara kwa kutumia mbinu sahihi zilizohakikiwa ili...

SHAIRI: Tutunze Makazi ya Simba

1.Ndugu zangu karibuni, nina jambo kutamka Simba wapo hatarini, majangili wawasaka Waharibu masikani, kuvuka yao mipaka Simba wanayo thamani, tutunze makazi...

Shairi: Agosti kumi ya Simba

Leo twendeni mbugani, utalii mbuga zetu Huko leo kuna nini, nataka ninene kitu Leo huko duniani, siku ya bingwa wa...
spot_img

Wafahamu Wanyama Na Ndege Wote Waliotajwa Kwenye Jedwali La Kwanza La Sheria Ya Wanyamapori

Habari msomaji wa makala za wildlife Tanzania, karibu kwenye makala ya leo ambayo tunaendelea kuichambua  Sheria ya wanyamapori namba 5 ya mwaka 2009. Tukiwa...

Ni Nguruwe Pori Au Ni Ngiri? Wanafanana Au Hawafanani? Ukweli Upo Kwenye Makala Hii

Habari za siku kidogo ndugu msomaji wa makala za wanyamapori. Ni matumaini yangu umzima na bukheri wa afya kabisa na kama dhana  yangu ni...

Soma Sehemu Ya Kumi Na Saba (Part XVII) Ya Sheria Ya Wanyamapori Tanzania

Habari Rafiki, karibu kwenye makala yetu ya leo tunaendelea na uchambuzi wa sheria ya wanyamapori ya mwaka 2009. Tunaelekea mwishoni kabisa wa sheria hii...

Hatua Za Mahakama Kwa Kesi Za Wanyamapori Na Nyara

Habari Rafiki karibu kwenye makala ya leo, tunachambua  sehemu ya kumi na saba ya shria ya wanyamapori ya mwaka 2009. Sehemu hii ya sheria...

Ijue Sehemu Muhimu Ya Elimu, Mafunzo Na Utafiti Katika Sekta Ya Wanyamapori Tanzania

Mara zote naamini katika elimu na maarifa sahihi ili kuongeza ufanisi kwenye eneo lolote. Kukosekana kwa taarifa na maarifa sahihi huleta kutojiamini na kufanya...

Usimamizi Wa Biashara Ya Kimataifa Ya Spishi Za Wanyamapori Na Sampuli

CITES ni kirefu cha Convention on International Trade in Endangered Species of Wild Fauna and Flora. Ikiwa na maana makubaliano ya kimataifa kuhusiana na...
spot_img