Ikolojia

Mimea Dawa na Misitu Ilivyo Muhimu kwa Maisha ya Sasa na Baadaye

Siku ya wanyamapori duniani inatukumbusha kutafakari namna tunavyoishi na mazingira yanayotuzunguka. Mazingira kama misitu, miti, maji, hali ya hewa, wanyama na wadudu. Hivyo siku ya wanyamapori duniani inatupa nafasi kutafakari...

Safari ya Hillary Thomas Mrosso Katika Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania

Wakati nasoma elimu ya msingi na sekondari, nilikuwa na ndoto za kuwa daktari wa binadamu, hivyo nilipenda sana...

Zijue Sababu za TAWIRI Kukataa Matokeo ya Utafiti wa Duporge na Wenzake Kuhusu Idadi ya Nyumbu Katika Eneo la Serengeti – Masai Mara,...

Uhifadhi endelevu wa wanyamapori unahitaji tafiti za kina za mara kwa mara kwa kutumia mbinu sahihi zilizohakikiwa ili...

SHAIRI: Tutunze Makazi ya Simba

1.Ndugu zangu karibuni, nina jambo kutamka Simba wapo hatarini, majangili wawasaka Waharibu masikani, kuvuka yao mipaka Simba wanayo thamani, tutunze makazi...

Shairi: Agosti kumi ya Simba

Leo twendeni mbugani, utalii mbuga zetu Huko leo kuna nini, nataka ninene kitu Leo huko duniani, siku ya bingwa wa...
spot_img

Uchambuzi Wa Sheria Ya Wanyamapori Sehemu Ya Sita; GENERAL MANAGEMENT MEASURES

Habari msomaji wa mtandao huu wa Wildlife Tanzania, karibu tena kwenye mfululizo wa makala za uchambuzi wa sheria ya wanyamapori namba 5 ya mwaka...

Maeneo ya Hifadhi Ya Jamii (Wildlife Management Areas, WMA); Uchambuzi wa Sheria sehemu ya Tano

Habari msomaji wa makala za wildlife Tanzania, karibu tena kwenye mfululizo wa makala za uchambuzi wa sheria ya wanyamapori namba 5 ya mwaka 2009....

Hii Ndio Orodha Ya Wanyama Kumi Na Mbili (12) Wa Taifa (National Game)

Habari msomaji wa makala zetu za wildlife Tanzania, karibu tuendelee na uchambuzi wa sheria ya uhifadhi wa wanyamapori ya mwaka 2009. Leo nitajibu swali...

Wanyama Wa Taifa Wanaoruhusiwa Kuwindwa (Declaration Of National A Game)

Habari msomaji wa makala za wildlife Tanzania, karibu tena kwenye mfululizo wa makala hizi za uchambuzi wa sheria ya wanyamapori. Leo tunaendelea na sehemu...

PROTECTION OF WILDLIFE CORRIDOR, DISPERSAL AREA, BUFFER ZONES AND MIGRATORY ROUTES; Sehemu Ya Nne Ya Sheria Ya Wanyamapori

Habari msomaji wa  makala za wildlife Tanzania, karibu kwenye uchambuzi wa makala ya sheria ya wanyamapori ya mwaka 2009. Tunachambua ili kila mmoja wetu...

Uwindaji Katika Mapori Ya Akiba, Mapori Tengefu Au Maeneo Oevu; Sehemu Ya Nne Ya Sheria Ya Wanyamapori.

Habari msomaji wa makala za wildlife Tanzania, karibu kwenye makala zetu za kila siku ambapo tunaichambua na kujifunza sheria ya wanyamapori ya mwaka 2009. ...
spot_img