Ikolojia

Mimea Dawa na Misitu Ilivyo Muhimu kwa Maisha ya Sasa na Baadaye

Siku ya wanyamapori duniani inatukumbusha kutafakari namna tunavyoishi na mazingira yanayotuzunguka. Mazingira kama misitu, miti, maji, hali ya hewa, wanyama na wadudu. Hivyo siku ya wanyamapori duniani inatupa nafasi kutafakari...

Safari ya Hillary Thomas Mrosso Katika Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania

Wakati nasoma elimu ya msingi na sekondari, nilikuwa na ndoto za kuwa daktari wa binadamu, hivyo nilipenda sana...

Zijue Sababu za TAWIRI Kukataa Matokeo ya Utafiti wa Duporge na Wenzake Kuhusu Idadi ya Nyumbu Katika Eneo la Serengeti – Masai Mara,...

Uhifadhi endelevu wa wanyamapori unahitaji tafiti za kina za mara kwa mara kwa kutumia mbinu sahihi zilizohakikiwa ili...

SHAIRI: Tutunze Makazi ya Simba

1.Ndugu zangu karibuni, nina jambo kutamka Simba wapo hatarini, majangili wawasaka Waharibu masikani, kuvuka yao mipaka Simba wanayo thamani, tutunze makazi...

Shairi: Agosti kumi ya Simba

Leo twendeni mbugani, utalii mbuga zetu Huko leo kuna nini, nataka ninene kitu Leo huko duniani, siku ya bingwa wa...
spot_img

Uchambuzi Wa Sheria Ya Wanyamapori Sehemu Ya Tatu; ISSUANCE OF HONORARY CERTIFICATE (UTOAJI WA CHETI CHA HESHIMA)

Habari msomaji wa makala za wildlife Tanzania karibu sana kwenye makala ya leo ambayo tutaenda kuichambua sheria yetu ya wanyamapori namba 5 ya mwaka...

Uchambuzi Wa Sheria Ya Uhifadhiwa Wanyamapori Sehemu Ya Tatu; INSTITUTIONAL ARRANGEMENT AND ADMINISTRATION

Kwa wale ambao tunafuatana vizuri leo ni sehemu ya tatu kwenye ichambuzi wa sheria hii ya wanyamapori ambapo tunaangali masuala mazima ya mpangilio  na...

Mfahamu Nyoka Hatari Zaidi Duniani, Ana Uwezo Mkubwa Sana Wa Kuua Anapouma

Ni siku nyingine tena ndugu msomaji wa makala hizi za wanyamapori tunakutana tena darasani angalau kujua machache lakini yenye funzo kubwa kuhusu wanyamapori na...

Uchambuzi Wa Sheria Ya Uhifadhi Wa Wanyamapori, Sehemu Ya Pili; SHABAHA, NIA, NA MALENGO YA SHERIA.

Katika kuendelea kujifunza mambo mbali mbali kuhusu sheria ya wanyamapori namba 5. Ya mwaka 2009. Tutapata mwanga na kuelewa madhumuni na makusudi ya sheria...

Mjue Mbega Anayepatikana Katika Safu Za Milima Ya Uduzungwa Pekee, Na Sio Sehemu Nyingine Yoyote Duniani

Habari za siku ndugu msomaji wa makala hizi za wanyamapori na mengi kuhusu wanyama hawa ikiwemo tabia na uelekeo wa wanyama hawa hasa hapa...

Uchambuzi Wa Sharia Ya Wanyamapori Tanzania, Sehemu Ya Kwanza; Umiliki Wa Wanyamapori

Habari msomaji wa wildlife Tanzania, karibu kwenye makala ya leo ambayo tutajifunza kwa pamoja mambo mbali mbali yaliyopo kwenye sheria ya uhifadhi wa wanyamapori...
spot_img