Ikolojia

Mimea Dawa na Misitu Ilivyo Muhimu kwa Maisha ya Sasa na Baadaye

Siku ya wanyamapori duniani inatukumbusha kutafakari namna tunavyoishi na mazingira yanayotuzunguka. Mazingira kama misitu, miti, maji, hali ya hewa, wanyama na wadudu. Hivyo siku ya wanyamapori duniani inatupa nafasi kutafakari...

Safari ya Hillary Thomas Mrosso Katika Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania

Wakati nasoma elimu ya msingi na sekondari, nilikuwa na ndoto za kuwa daktari wa binadamu, hivyo nilipenda sana...

Zijue Sababu za TAWIRI Kukataa Matokeo ya Utafiti wa Duporge na Wenzake Kuhusu Idadi ya Nyumbu Katika Eneo la Serengeti – Masai Mara,...

Uhifadhi endelevu wa wanyamapori unahitaji tafiti za kina za mara kwa mara kwa kutumia mbinu sahihi zilizohakikiwa ili...

SHAIRI: Tutunze Makazi ya Simba

1.Ndugu zangu karibuni, nina jambo kutamka Simba wapo hatarini, majangili wawasaka Waharibu masikani, kuvuka yao mipaka Simba wanayo thamani, tutunze makazi...

Shairi: Agosti kumi ya Simba

Leo twendeni mbugani, utalii mbuga zetu Huko leo kuna nini, nataka ninene kitu Leo huko duniani, siku ya bingwa wa...
spot_img

Ifahamu Dhana Ya Ujangili Kwa Mujibu Wa Sera Na Sheria Za Wanyamapori Tanzania

Moja ya vitu vinavyofanya watu wachukulie maanani baadhi ya mambo yanayoendelea na kutokea  kwenye maisha ni vile vitu vikubwa vinavyogusa hisia za watu wengi,...

Sababu Kumi (10) Kwanini Nakushauri Uwe Msomaji Na Mfuatiliaji Wa Blogu Ya Wildlife Tanzania

Habari msomaji wa makala za wildlife Tanzania, naamini siku yako imekuwa bora, karibu kwenye makala yetu ya leo ambayo nitakueleza sababu  na umuhimu wa...

Mila,Visasi Na Tamaduni Hizi Ni Hatari Kwenye Uhifadhi Wa Wanyamapori

Habari Rafiki, karibu kwenye makala yetu ya leo, jana niliandika jinsi ambavyo jamii zetu zinavyochangia kwa kiasi kikubwa kukua na kuenea kwa ujangili, nilieleza...

Kwa Kiasi Kikubwa Jamii Zetu Zimekuwa Ndio Chanzo Cha Kukua Na Kuenea Kwa Ujangili Kwenye Hifadhi Za Wanyamapori

Habari Rafiki, karibu kwenye makala ya leo ambayo tutaona na kujifunza mambo ambayo tunayafanya au yanafanywa jamii zetu wanaoishi karibu na maeneo au makazi...

Kwanini Kusiwe Maduka Yanayouza Yamapori Tanzania?

Habari Rafiki, karibi kwenye makala zetu za kila siku kuhusu wanyamapori na uhifadhi wao , leo tutajifunza kuhusu Swali moja niliulizwa na mama mmoja...

Vigezo Kumi (10) Vinavyotumika Na UNESCO Kutangaza Eneo Au Kitu Kuwa Urithi Wa Dunia

Habari msomaji wa makala za kila siku za wildlife Tanzania, karibu kwenye makala yetu ya leo tujifunze na tuweze kuelewa baadhi ya mambo yanayoendelea...
spot_img