Ikolojia

Mimea Dawa na Misitu Ilivyo Muhimu kwa Maisha ya Sasa na Baadaye

Siku ya wanyamapori duniani inatukumbusha kutafakari namna tunavyoishi na mazingira yanayotuzunguka. Mazingira kama misitu, miti, maji, hali ya hewa, wanyama na wadudu. Hivyo siku ya wanyamapori duniani inatupa nafasi kutafakari...

Safari ya Hillary Thomas Mrosso Katika Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania

Wakati nasoma elimu ya msingi na sekondari, nilikuwa na ndoto za kuwa daktari wa binadamu, hivyo nilipenda sana...

Zijue Sababu za TAWIRI Kukataa Matokeo ya Utafiti wa Duporge na Wenzake Kuhusu Idadi ya Nyumbu Katika Eneo la Serengeti – Masai Mara,...

Uhifadhi endelevu wa wanyamapori unahitaji tafiti za kina za mara kwa mara kwa kutumia mbinu sahihi zilizohakikiwa ili...

SHAIRI: Tutunze Makazi ya Simba

1.Ndugu zangu karibuni, nina jambo kutamka Simba wapo hatarini, majangili wawasaka Waharibu masikani, kuvuka yao mipaka Simba wanayo thamani, tutunze makazi...

Shairi: Agosti kumi ya Simba

Leo twendeni mbugani, utalii mbuga zetu Huko leo kuna nini, nataka ninene kitu Leo huko duniani, siku ya bingwa wa...
spot_img

Mfahamu Nyoka Mpole Na Hatari Zaidi Duniani.

Leo tuingie tena darasani kidogo kusoma mambo yetu ya wanyamapori angalau kwa uchache. Kwa siku ya leo ningependa tuhame upande kidogo kutoka kwa mamalia...

Mfahamu Ndege Anaye Heshimika Zaidi Katika Bara La Afrika

Kwa hakika ni matumaini yangu una mapumziko mazuri na siku nyingi za kupumzika za mwisho wa juma huku zikiongezeka na nyingine za sikukuu ya...

Hii Ndio Hifadhi Rahisi Zaidi Kuitembelea Kenye Kipindi Hiki Cha Mapumziko Ya Sikukuu Za Eid.

Habari ndugu Watanzania, hongereni ndugu zetu Waislam kwa kufikia kilele cha mfungo wenu wa mwezi mtukufu, naamini mmejipanga na kujitathini vizuri kwenye kipindi chote...

Siri Kubwa Iliyojificha Kwenye Hifadhi ya Taifa ya Milima Uduzungwa

Baada ya kuangalia hifadhi ya Taifa ya Saadani iliyoko katika Pwani ya Tanga na Bagamoyo leo tupandishe milima hadi mji kasoro bahari ili tuikute...

Je, Unaijua Hifadhi Ya Taifa Ya Saadani? Hii Ndio Saadani, Soma Hapa!

Makala mbili zilizopita nilandika kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara na hifadhi ya Tarangire zote zikiwa zina patikana Kaskazini mwa Tanzania. Tuliangalia vitu...

Vitu Saba (7)Usivyo Vijua Kuhusu Hifadhi Ya Taifa Ya Tarangire

 Baada ya jana kuandika makala kuhusu hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, na kuelezea kwa undani sababu kumi kwanini ni muhimu kuitembelea hifadhi hii...
spot_img