Ikolojia

Mimea Dawa na Misitu Ilivyo Muhimu kwa Maisha ya Sasa na Baadaye

Siku ya wanyamapori duniani inatukumbusha kutafakari namna tunavyoishi na mazingira yanayotuzunguka. Mazingira kama misitu, miti, maji, hali ya hewa, wanyama na wadudu. Hivyo siku ya wanyamapori duniani inatupa nafasi kutafakari...

Safari ya Hillary Thomas Mrosso Katika Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania

Wakati nasoma elimu ya msingi na sekondari, nilikuwa na ndoto za kuwa daktari wa binadamu, hivyo nilipenda sana...

Zijue Sababu za TAWIRI Kukataa Matokeo ya Utafiti wa Duporge na Wenzake Kuhusu Idadi ya Nyumbu Katika Eneo la Serengeti – Masai Mara,...

Uhifadhi endelevu wa wanyamapori unahitaji tafiti za kina za mara kwa mara kwa kutumia mbinu sahihi zilizohakikiwa ili...

SHAIRI: Tutunze Makazi ya Simba

1.Ndugu zangu karibuni, nina jambo kutamka Simba wapo hatarini, majangili wawasaka Waharibu masikani, kuvuka yao mipaka Simba wanayo thamani, tutunze makazi...

Shairi: Agosti kumi ya Simba

Leo twendeni mbugani, utalii mbuga zetu Huko leo kuna nini, nataka ninene kitu Leo huko duniani, siku ya bingwa wa...
spot_img

Mambo Usiyoyajua Kuhusu Mnyama Huyu Adimu Zaidi Duniani

Kwa mara nyingine tena nakualika katika ule mfululizo wetu wa darasa huru kuhusu wanyamapori. Leo tunakuja na mnyama mwingine tena ambae kwa hakika utahamasika...

Mjue Swala Pekee Anayepatikana Tanzania tu

Tafadhali soma hii ni muhimu sana hasa eneo la uhifadhi. Habarini kwa mara nyingine tena ndugu zangu katika uhifdhi. Leo narudi tena kidogo kwa upande wa...

Leo Tumjue Tandala Mdogo (Lesser Kudu)

Habarini tena ndugu katika uhifadhi wa wanyamapori Kama ilivo kawaida yeu leo tena tunaingia katika darasa letu na kuendelea na mtiririko wa kujuzana machache na...

Miundombinu Ndio Kichocheo Kikubwa Cha Utalii Tanzania

Zama tunazoishi ni zama ambazo kila kitu kinatakiwa kufanyika kwa haraka na kwa ufanisi, tunajua wote kwa asilimia kubwa tuna adhiriwa na ukuaji wa...

Leo Tumjue Mnyama Nyati/Mbogo

Habarini wanandugu katika sekta yetu ya wanyamapori. Kama ilivyo ada tunaingia tena kwenye mtiririko wetu wakujua japo machache kuhusu wanyamapori na uelekeo wa wanyama...

Ushauri Kwa Wanafunzi, Walimu na Watalamu Wengine wanaotaka kufanya utafiti au Kuanzinsha miradi Ya uhifadhi wa Wanyamapori.

Uzoefu kidogo nilio nao kwenye hifadhi za Kusini hasa Hifadhi ya Taifa Ya Ruaha umenifanya nishauri wanafunzi, waliimu na watalaamu wengine wanaotaka kufanya utafiti...
spot_img