Ikolojia

Mimea Dawa na Misitu Ilivyo Muhimu kwa Maisha ya Sasa na Baadaye

Siku ya wanyamapori duniani inatukumbusha kutafakari namna tunavyoishi na mazingira yanayotuzunguka. Mazingira kama misitu, miti, maji, hali ya hewa, wanyama na wadudu. Hivyo siku ya wanyamapori duniani inatupa nafasi kutafakari...

Safari ya Hillary Thomas Mrosso Katika Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania

Wakati nasoma elimu ya msingi na sekondari, nilikuwa na ndoto za kuwa daktari wa binadamu, hivyo nilipenda sana...

Zijue Sababu za TAWIRI Kukataa Matokeo ya Utafiti wa Duporge na Wenzake Kuhusu Idadi ya Nyumbu Katika Eneo la Serengeti – Masai Mara,...

Uhifadhi endelevu wa wanyamapori unahitaji tafiti za kina za mara kwa mara kwa kutumia mbinu sahihi zilizohakikiwa ili...

SHAIRI: Tutunze Makazi ya Simba

1.Ndugu zangu karibuni, nina jambo kutamka Simba wapo hatarini, majangili wawasaka Waharibu masikani, kuvuka yao mipaka Simba wanayo thamani, tutunze makazi...

Shairi: Agosti kumi ya Simba

Leo twendeni mbugani, utalii mbuga zetu Huko leo kuna nini, nataka ninene kitu Leo huko duniani, siku ya bingwa wa...
spot_img

Tumjue Faru Ni Myama wa Namna Gani

Faru ni mnyama wa pili kwa ukubwa duniani baada ya tembo kwa wanyama waishio nchi kavu. Kuna jamii tano (5) za faru duniani kote....

Ushauri Kwa Wanafunzi, Walimu na Watalamu Wengine wanaotaka kufanya utafiti au Kuanzinsha miradi Ya uhifadhi wa Wanyamapori

Uzoefu kidogo nilio nao kwenye hifadhi za Kusini hasa Hifadhi ya Taifa Ya Ruaha umenifanya nishauri wanafunzi, waliimu na watalaamu wengine wanaotaka kufanya utafiti...

Mambo Ya Msingi Usiyoyajua Kuhusu Tumbusi (Vulture)

Habari ndugu msomaji na mfuatiliaji wa blogu hii ya wildlife Tanzania. Leo nimekuandalia mambo mazuri niliyojifunza hivi karibuni kuhusu Tumbusi, tumbusi kama wengi wanavyo...

Kila Siku Iwe Siku Ya Mazingira Duniani

Jitihda na juhudi za kila serikali duniani ni kuhakikisha maisha ya binadamu yanaendelea kuwa bora kwa kuhakikisha kila kinachotishia uhai na maendeleo ya binadamu...

Barua Ya wazi Kwa Watanzania Wote , Siku Ya Mazingira Duniani

Maendeleo ya binadamu na ukuaji wa teknologia ya viwanda na mawasiliano imejenga sura mpya kabisa kwenye ulimwengu wa sasa, na kusababisha mabadiliko yasiyokwepeka kwa...

Vitu Saba (7) Muhimu Unavyotakiwa Kuwa Navyo Unapopanga Kutembelea Hifadhi Yoyote

Kwa uzofu kidogo nilio nao wa kutembele hifadhi na vivutio mbali mbali sehemu yoyote ile, nimekutana na changamoto hii mimi mwenyewe kwa kuishia kujilaumu...
spot_img