More

    Ikolojia

    Laugh, Cry and Learn Within Virtual Reality

    Venus has a runaway greenhouse effect. I kind of want to know what happened there because we’re twirling knobs here on Earth without knowing...

    Zijue Sababu Saba (7) Zinazopelekea Migogoro Baina ya Binadamu na Wanyamapori Kutoisha

    Habari msomaji wa makala za wanyamapori, karibu katika makala ya leo. Leo tunaangazia moja ya changamoto kubwa inayoikabili sekta ya uhifadhi wa wanyamapori duniani....

    Hizi Ndio Faida za Wadudu Kijamii na Kiikolojia

    Wadudu ni aina wanyama wadogo wasio na uti wa mgongo, wanyama waitwao wadudu wana miguu kwa kawaida na baadhi yao wanamabawa (kama vile nyuki,...

    Biashara ya Nyara Inavyochangia Kutoweka kwa Idadi Kubwa ya Tembo Barani Afrika

    Biashara haramu ya nyara za wanyamapori imeshamiri sana katika miongo ya hivi karibuni. Biashara hii imetajwa kuwa ndio biashara inayoshika nafasi ya tatu kwa...

    Usiyoyajua Kuhusu Matumbawe, Hazina Yenye Thamani Chini Ya Bahari

    Makala kadhaa zilizopita zimeangazia wanyama, utalii uliopo ardhini, yaani nchi kavu. Mengi ya kushangaza na kuvutia sana yemetajwa kwenye makala zilizopita, lakini mengi sana...

    Fahamu Mambo ya Kushangaza Kuhusu Farasi wa Baharini

    Mpendwa msomaji wa makala hizi za wanyamapori, leo nimewaletea makala hii inayohusu farasi wa baharini (seahorse) au kama anavyojulikana kwa jina lake la kisayansi...

    Hivi Ndivyo Unavyoweza  Kuwatofautisha Popo na Ndege Wengine

    Miongoni mwa mamalia, popo ni wanyama waliogawanyika katika spishi nyingi sana miongoni mwao, ikiwa ni idadi kubwa ya pili baada ya spishi za wanyama...

    Wanyamapori Katika Mtego wa Imani: Uharibifu Usioonekana na Jinsi ya Kupambana Nao

    Mpendwa msomaji wa makala za wanyamapori, ni wazi kuwa wengi wetu tumekuwa tukiwabagua wanyama kwa baadhi yao kuwaona ni bora kuliko wengine bila kujua...

    Ujangili kwa Wanyamapori ni Dhuluma, Uporaji na Ukatili kwa Vizazi Vijavyo

    Unaweza kuwa unajiuliza kwanini nakazana kuandika makala kuhusu matumizi ya wanyamapori na ujangili. Jibu ni kwamba, ni eneo ambalo nimelifuatilia na kusoma maandiko mengi...

    Latest articles