More

    Ikolojia

    Ujangili kwa Wnaymapori ni Dhuluma, Uporaji na Ukatili kwa Vizazi Vijavyo

    Unaweza kuwa unajiuliza kwanini nakazana kuandika makala kuhusu matumizi ya wanyamapori na ujangili. Jibu ni kwamba, ni eneo ambalo nimelifuatilia na kusoma maandiko mengi...

    Nyamapori Bado ni Sehemu Muhimu ya Mlo wa Jamii Nyingi za Watu Zinazoishi Karibu na Maeneo ya Hifadhi za Wanyamapori

    Matumizi makubwa ya nyamapori yamesababisha kutoweka kwa idadi kubwa ya spishi za wanyama na mimea. Maeneo mengi yaliyo na rasilimali za wanyamapori yanakabiliwa na...

    Zijue Jamii Mbalimbali za Popo, Tabia, Maisha Yao na Umuhimu Wake Katika Uhifadhi

    Popo ni wanyama aina ya mamalia wenye damu moto, miili iliyofunikwa na nywele, wanaozaa na kunyonyesha watoto wao kwa kutumia viwele vyao.  Kibaolojia, popo...

    Unajua Nini Kuhusu Mamba? Haya ni Mambo Usiyoyajua kabisa kuhusu Mnyama Mamba

    Mamba ni wanyama wakubwa wa spishi ya reptilia, wanaopatikana zaidi maeneo mengi ya kitropiki ya bara la Afrika, Asia, Amerika na Australia. Spishi hii...

    Yajue Maajabu Ya Ziwa Ngozi Nchini Tanzania

    Ziwa Ngosi  ni miongoni mwa vivutio vinavyopatikana nchini Tanzania. Ziwa hili  ni la pili kwa ukubwa kati ya maziwa ya kreta barani Afrika baada...

    Mazuri Usiyoyajua Kuhusu Aina Kumi na Nne (14) za Bundi Waliopo Tanzania na Umuhimu Wake Katika Uhifadhi

    Bundi ni ndege wanaopatikana kwenye oda ya Strigifomi, ambayo inajumuisha Zaidi ya spishi 200 za bundi duniani. Ndege hawa huonekana zaidi wakati wa usiku,...

    Faida za Kilimo cha Mwani na Athari Zake Katika Uhifadhi wa Bahari

    Mwani ni aina ya viumbe hai wanaopatikana katika maeneo ya bahari wajulikanao kwa lugha ya kiingereza kama “Sea moss”. Katika uasili wake, viumbe hawa...

    Matumizi Ya Nyamapori Yanavyochangia Kutoweka Kwa Aina Mbalimbali (Spishi) Za Wanyamapori

    Tangu karne nyingi zilizopita watu wamekuwa wakitumia nyamapori kwa matumizi mbali mbali kama vile kitoweo, dawa, na kufanyia mila na na desturi zao. Katika...

    Tishio Kubwa Kwa Wanyamapori Na Mazingira Tanzania

    Dunia inakabiliwa na majanga mengi sana ya kimazingira, majanga hayo ni uchafuzi wa mazingira, uharibifu wa maeneo ya hifadhi ya misitu na wanyamapori, ongezeko...

    Latest articles