Hifadhi yetu ya Taifa ya Serengeti imekuwa ikituwakilisha vyema kiukanda, barani Afrika na duniani kwa ujumla kupitia tuzo hii ya hifadhi bora barani Afrika inayoandaliwa na shirika binafsi, World Travel
Utalii
Uwepo wa wanyamapori katika maeneo mbalimbali yaliyohifadhiwa nchini Tanzania umekuwa kichocheo kikubwa cha kukua kwa sekta ya utalii. Shughuli mbalimbali za utalii ambazo huhusisha kukutana na wanyamapori kwenye mazingira yao
Nchi yetu imejaaliwa kuwa na vivutio vingi vya utalii ikiwa ni pamoja na wanyamapori, jiografiia nzuri ya uwanda wa mabonde, miinuko na milima, mapango na michoro ya zamani, miji mikongwe
Tanzania ni moja ya nchi zenye mandhari za kuvutia na hifadhi za wanyamapori zinazojulikana duniani kote. Tanzania inajivunia hifadhi na mbuga za wanyamapori zinazovutia maelfu ya watalii kila mwaka. Maeneo
Hifadhi ya Taifa Kitulo inapatikana Nyanda za juu Kusini mwa Tanzania katika mikoa ya Mbeya na Njombe. Hifadhi hii ipo kati ya kilele cha Milima ya Kipengere, Poroto na Safu






