Unaweza kuwasiliana na mmiliki na mwendeshaji wa blog hii kwa maswali, maoni, au ushauri wowote kuhusu maliasili na hifadhi za taifa.
Pia, kama unataka kuchangia fedha ili kuendeleza kazi hii muhimu ya uhifadhi wa maliasili, tafadhali wasiliana nasi. Michango yako itasaidia kuendeleza elimu ya umma kuhusu uhifadhi wa wanyamapori na mazingira yetu.
Hillary Mrosso
Mmiliki na Mwandishi
Barua pepe: info@wildlifetanzania.co.tz
Simu: +255 683 862 481
Tunasubiri mawasiliano yako!

