Ikolojia

Mimea Dawa na Misitu Ilivyo Muhimu kwa Maisha ya Sasa na Baadaye

Siku ya wanyamapori duniani inatukumbusha kutafakari namna tunavyoishi na mazingira yanayotuzunguka. Mazingira kama misitu, miti, maji, hali ya hewa, wanyama na wadudu. Hivyo siku ya wanyamapori duniani inatupa nafasi kutafakari...

Safari ya Hillary Thomas Mrosso Katika Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania

Wakati nasoma elimu ya msingi na sekondari, nilikuwa na ndoto za kuwa daktari wa binadamu, hivyo nilipenda sana...

Zijue Sababu za TAWIRI Kukataa Matokeo ya Utafiti wa Duporge na Wenzake Kuhusu Idadi ya Nyumbu Katika Eneo la Serengeti – Masai Mara,...

Uhifadhi endelevu wa wanyamapori unahitaji tafiti za kina za mara kwa mara kwa kutumia mbinu sahihi zilizohakikiwa ili...

SHAIRI: Tutunze Makazi ya Simba

1.Ndugu zangu karibuni, nina jambo kutamka Simba wapo hatarini, majangili wawasaka Waharibu masikani, kuvuka yao mipaka Simba wanayo thamani, tutunze makazi...

Shairi: Agosti kumi ya Simba

Leo twendeni mbugani, utalii mbuga zetu Huko leo kuna nini, nataka ninene kitu Leo huko duniani, siku ya bingwa wa...
spot_img

Faida za Kilimo cha Mwani na Athari Zake Katika Uhifadhi wa Bahari

Mwani ni aina ya viumbe hai wanaopatikana katika maeneo ya bahari wajulikanao kwa lugha ya kiingereza kama “Sea moss”. Katika uasili wake, viumbe hawa...

Matumizi Ya Nyamapori Yanavyochangia Kutoweka Kwa Aina Mbalimbali (Spishi) Za Wanyamapori

Tangu karne nyingi zilizopita watu wamekuwa wakitumia nyamapori kwa matumizi mbali mbali kama vile kitoweo, dawa, na kufanyia mila na na desturi zao. Katika...

Tishio Kubwa Kwa Wanyamapori Na Mazingira Tanzania

Dunia inakabiliwa na majanga mengi sana ya kimazingira, majanga hayo ni uchafuzi wa mazingira, uharibifu wa maeneo ya hifadhi ya misitu na wanyamapori, ongezeko...

Mchango wa Ardhi Oevu ya Usangu katika Hifadhi ya Taifa Ruaha na Maendeleo ya Nchi

Ardhi oevu ni eneo lenye uwazi mkubwa wenye maji mengi yatokayo katika vyanzo mbalimbali kama vile mito, vijito, mifereji na mitaro ambayo huweza kuwa...

Tushiriki Kupiga Vita Uchomaji Holela Wa Moto Kwenye Maeneo Ya Hifadhi Za Wanyamapori Na Misitu.

Baada ya ugunduzi wa moto, maisha ya binadamu yalibadilika kwa kiasi kikubwa, uzalishaji uliongezeka, ulinzi dhidi ya maadui zake uliimarika, afya iliimarika zaidi na...

Mambo Usiyoyajua Kuhusu Tofauti Zilizopo Kati Ya Nyoka Aina Ya Cobra(Fira/Swila) Na Black Mamba(Koboko)

1. UTANGULIZI Katika bara la Africa kuna nyoka wa aina nyingi sana kwa makundi yao. Lakini leo natamani tuangazie kidogo kuhusu aina hizi mbili za...
spot_img