Hillary Mrosso

Exclusive Content

spot_img

Taaluma ya Udakitari wa Wanyamapori Ilivyo Muhimu Kwenye Uhifadhi

Miaka ya hivi karibuni milipuko ya magonjwa yanayotokana na wanyamapori imekua ikiongezeka kwa kasi, Magonjwa haya yamekua yakiathiri wanyamapori pamoja na binadamu. Wanyamapori wengi...

Kheri ya Mwaka Mpya 2024 Wasomaji wa Wildlife Tanzania

Habari ndugu wasomaji wa makala za blogu yetu ya WILDLIFE TANZANIA. Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa kuwa wasomaji wazuri wa makala zetu tunazoandika kuhusu...

Spishi za Kakakuona wa Tanzania, na Mengi Usiyoyajua kuhusu Wanyama Hawa

Dunia imebarikiwa kuwa na wanyama na ndege wa aina nyingi, kuna warefu kama twiga, wanene kama kiboko, wakubwa kama tembo na nyangumi, wadogo kama...

Sauti ya Dhiki Kutoka Mbugani

Ukiwa eneo la Ruaha kusikia sauti nzuri za ndege, fisi, nyani, simba, tembo na wanyama wengine ni jambo la kawaida sana. Pia sio jambo...

Mimea Vamizi Tishio kubwa Katika Maeneo ya Hifadhi  za Wanyamapori

Habari mpendwa msomaji wa Makala za wanyamapori, karibu katika Makala ya leo inayohusu  mimea vamizi katika hifadhi za nchini Tanzania. Taarifa mbalimbali zimeonesha kuna...

Mfahamu Nyuki Na Umuhimu Wake Kiuchumi na Kiikolojia

UTANGULIZI Nyuki ni wadudu wadogo wanaosifika kwa uchevushaji wa maua katika mimea mbalimbali na hivyo kuchangia katika uwepo wa mimea inayotupatia hewa safi pamoja na...